Ofa ya pasaka kwa wateja wa airtel


mkuu sio kawaida kwa wananchi kuwa na hasira ila kuna vijimambo vidogo vidogo vinavyo kela kama umwisoma post yangu ambayo ndio iliyo fungua ukurasa nadhani umepata picha.mimi ninaishi.shinyanga niliwahi kupigiwa simu toka zain wakihitaji maelezo yangu yatakayo wasaidia kunifikishia zawdi yangu huku.bila hiyana nilijikuta na mzee mzima ninajieleza kwa ufasaha huku nikichekelea. looh!!!!!!!!!! kumbe nilikuwa ninazugwa kitoto ili nisiendelee kulia.mwe!!! tangu siku hiyo nikawa kila nikipiga simu kuuliza wamefikia wapi juu ya ile kadi waliyo niahidi majibu ikawa oooh bado inatengenezwa mala oh! tutakutumia mala njoo dar. bahati nzuri kama mala mbili tatu hivi nilifika katika jengo la zain pale morocco,hilo jengo unapoingia tu mkono wa kulia ndipo kipo kile kitengo cha rewardz.huku nikichekelea kwamba leo ninapata ile gift yangu.mweeeeeeee!!!!!!!! nilipo waeleza tu wakaanza kuni chukua maelezo tena huku wanapekuwa katika computer yao pale.majibu nilyopata nikuwa kweli ndugu ********** umeshinda kadi sijui in gold sijui silver .kwamba wewe nenda tu kadi yako bado inatengenezwa. mkuu kama kweli mnatujari kwanza tupeni maelezo yatakayo jibu maswali yetu hapa.
 

pole sana mkuu...
 


Hawa hawana adabu kabisa. Wanatoa visimu hata mlinzi wako huwezi kumpa, aaarggghhh!!!
 
Kukimbilia aina ya zawadi hizi ni mpango wa makampuni haya ikiwemo hili kupima kiwango cha ujinga wetu.
 

Mkuu mbona hizo namba za kucheki balance zinaonekana na kama service isiyokuwapo, au ndio mpaka saa 6 usiku ndio zinafanya kazi
 

alafu internet speed yenu siku hzi ipo slow sana mpaka wengi tunabidi tujiunge na light ya tigo 450 kwa siku mbili then unlimited
hamuoni kama mnatuingiza gharama mara 2?
 
alafu internet speed yenu siku hzi ipo slow sana mpaka wengi tunabidi tujiunge na light ya tigo 450 kwa siku mbili then unlimited
hamuoni kama mnatuingiza gharama mara 2?

light day ya tigo sio unlimited!
 




Ndg yangu hii haijakaa uzuri hata kidogo, I think imepotea njia, naomba ihamishiwe kwe matangazo ya biashara, af am in doubt kwamba mzee una elements za kimagamba magamba hivi.
 
Wadau punguzeni jazba ingawa sio ustaraba kupeana ofa zenye masharti magumu lakini kumbukeni airtel ndio wanatuwezesha kuwepo jamvini
 
acheni wizi nyie watu,mie jana nimeweka 5000 na nikapata msg kuwa nimepewa sijui msg na muda wa maongezi na data bure.ila kila nikicheki naambiwa una msg 0,mb 0 na msg 0.
maana yake nn?
na huo muda c wa kulala?
bora msingeweka kabisa

naona inabidi hata hizo balances unatakiwa uangalie ndani ya mda wa offer(00:00 to 6am ) ndo utapata balance yako.
 
Nakumbuka ofa za makampuni ya simu zitolewazo usiku zilipigwa marufuku. Nashangaa ndo kwanza wanyonyaji wamechachamaa kutoa ofa hizo batili. Hivi tuna serikali au ..........? Binafsi nimechoka na life ya TZ.
 
Tangazo hili inafaa mulipeleke kwenye shule za secondary na primary. Kweli AIRTEL mumechoka

Sikapendi hako katimu kako kwa avatar yako ila wacha nikugongee thanks kwa point yako, .........oh no ......kumbe bado hawajairudisha?
 

mzee umepitia marketing ama advertising?
nyc advertise!!!
 
Mmmmmnh!Hawa jamaa ama kwa hakika hawafai kabisa na hizi offa zao.Kama kweli ni offa na si adhabu na kuingizana katika matatizo kwanini zitumike usiku wakati watu wanatakiwa kupumzika kwa ajili ya maandalizi mengine ya kulitumikia taifa hili?
Huu ni ubabaishaji na wizi kwani kwa namna moja ama nyingine wanajilipa kupitia simu tunazopiga.Kama kweli wangekuwa na nia ya kutupatia offa basi wangepunguza gharama za upigaji simu na si kuweka offa zisizokuwa na kichwa wal miguu.
 
 
Hakuna marefu yasiokuwa na ncha, hata vodacom walitudharau kwa kipindi kirefu, vocha ilikuwa inaanzia sh 5000, na kulikuwa hakuna sekunde, mwendo ulikuwa ni shilingi 300 kwa dakika. sasa basi na dharau hizi wanazotuletea hawa mafedhuli wa airtel, huku wakijuwa wazi kwamba binadamu anatakiwa alale masaa 8, yaani ulale saa nne usiku ili uamke saa 12 asubuhi, yote haya wanayajuwa vizuri, siongei sana maana nitaambulia ban, siwezi kuzidhibiti hasira zangu juu ya wezi hawa, ila mungu yupo yana mwisho haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…