klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Kwa hio uko radhi awe apokea tu brotherly kisses ovyo ovyo? lol Kloro you know nakutegemea katika protecting her hasa ukizingatia ni desk mate wake na mtu wetu wa karibu in the family....
Haya, nimeskia. Bora mngesema nisirudi kupokea coz jana alifikisha kabisa, kwa kunishtukiza, na nilipo muuliza kulikoni ndio akasema ni brotherly. sasa itabidi leo mida ya jioni nimrudishie... hahahahaha
Anti, nitajie basi kaka zangu wa humu niwajue... lol

Nipo nje kwa zamana kamanda, kumbe ulitembelea kwa vishoka? Hawakukuchafulia CV?aisee...kumbe upo kamanda...hicho ni kiromania cha zamani.....lol
Kamanda tumeshamkataza.....sasa hapo we endelea kuwa deskmate tuKama itathibitika kwamba ukaka wenyewe uko hivo bas namimi naomba nikuwe kakaako
Sasa hapo unataka kuchanganya mambo. Aspirin ni babu, Kaizer ni Uncle, alafu wewe binamu? :confused2:
Dah! sore skujua aisee, worry not! from now on she is in a safe guardian. Tena mwambie askuwe mkaidi kwa protector wake.
Nipo nje kwa zamana kamanda, kumbe ulitembelea kwa vishoka? Hawakukuchafulia CV?
Khaaaa!!! Hapa namuachia Mpenzi Kaizer ajibu!
Kama hakuna brotherly kiss basi na ukaka cancelled. tuludi kama zamani tu ma deskmateSasa hapo unataka kuchanganya mambo. Aspirin ni babu, Kaizer ni Uncle, alafu wewe binamu? :confused2:
Khaaaa!!! Hapa namuachia Mpenzi Kaizer ajibu!
Si mnajua tena mi nimetoka Tanga recently watoto wa mjini wanatafuta njia mbali mbali za kunikaribia?Apo hakuna kinachokubidi Mwali....umesikia eeh? Na kama vipi utakuwa unatoka na kaka zako...:A S embarassed:
Haya, nimeskia. Bora mngesema nisirudi kupokea coz jana alifikisha kabisa, kwa kunishtukiza, na nilipo muuliza kulikoni ndio akasema ni brotherly. sasa itabidi leo mida ya jioni nimrudishie... hahahahaha
Anti, nitajie basi kaka zangu wa humu niwajue... lol
Acha niandae sylabuss, sitopendelea kumuona deskmate hafauluKamanda tumeshamkataza.....sasa hapo we endelea kuwa deskmate tu
Copied!Ngoja nitafute siku nikutajie list ya familia nzima.... Kikubwa mtu akijitambulisha ni nduguyo na huna hakika uje ureport kwanza!
heheheeh Uporoto wenyewe ana skendo ya kuiba mbuzi boda la isiopia, Na Hus! ukimpa msuba anatetemeka sana bana atauza soo.uzuri wake ni kuwa yule raisi wao hakustukizia ziara yangu.....kama vipi nikuchukulie msuba kwa Hus umpelekee Uporoto?
Love, mwambie Mwali asiwe na haraka, amalizie kwanza mafunzo yako....akue kue...
Anakuchemsha tu.... Huyo ni rafiki wa karibu wa uncle wako (sio lazima umwite uncle thou) :lol: Ila kikubwa ni kua ni desk mate alafu protecter pia.... Soma maneno ambayo nimesainiana na Klorokwini hapa chini...
Hatakua mkaidi..... She is so obedient of all the nieces....lol
Si mnajua tena mi nimetoka Tanga recently watoto wa mjini wanatafuta njia mbali mbali za kunikaribia?
Bahati tunacommunicate vizuri na haya matatizo naona nitayashinda tu.
So no brotherly kiss, na kama nikiewa kwa bahati mbaya no kurudisha.
Darasani na jamvini Klorokwini bodigadi. copied.
Klorokwini nae tunahusianaje? ni rafiki wa Uncle, ni kaka, ni binam, ni rafiki wa babu, ni family friend ... ni nani hasa kwangu?
Kama hakuna brotherly kiss basi na ukaka cancelled. tuludi kama zamani tu ma deskmate
Si mnajua tena mi nimetoka Tanga recently watoto wa mjini wanatafuta njia mbali mbali za kunikaribia?
Bahati tunacommunicate vizuri na haya matatizo naona nitayashinda tu.
So no brotherly kiss, na kama nikiewa kwa bahati mbaya no kurudisha.
Darasani na jamvini Klorokwini bodigadi. copied.
Klorokwini nae tunahusianaje? ni rafiki wa Uncle, ni kaka, ni binam, ni rafiki wa babu, ni family friend ... ni nani hasa kwangu?
Nimesha elewa. Kwa sasa ni deskmate wangu, na nikitishiwa kama niko mbali nanyi najua naweza kupeleka mashtaka kwake.Yaaani Kloro NIMECHEKA.... Khaaaa!! lol
Mwali hapo inatakiwa usiwe na haraka.... Klorokwin ni close familiy friend, hivo kwako aweza kua lolote lile? Protector... Kaka... Uncle.... na mengineyo mengi..... Get the trend niece?😛hoto: