Odinga umeshapotea achana na Tanzania!!

tatizo la kutojua wapi tutumie R na wapi tuweke L hapa bongo ni kubwa sana aisee duh!
 
Mwanaume wa Kenya
 
Hii maneno ungemshauri baba J, ingekua vizuri sana
Haaaaaah mpendazoe ndiye kanichekesha sana et jpm anpewa ushauri na baraza la mawaziri na ccm hivi uo ushauri ccm kwanini hawakuutoa kwa jk lakini wampe magufuli!!!
Mpaka asababishe uhaba wa sukari
 
Acha woga, wenzio/huyu (w)ameshaamua kufa. Life has no meaning to them! Tuko tofauti! ( Ila mods futa hiyo isije ikaleta shida kwenye mtandao wenu kufungiwa)
Sasa wewe unamwambia mwenzako aache woga, halafu unawaambia mods wafute maneno yangu kwa woga?

Practice what you preach.
 
Sasa wewe unamwambia mwenzako aache woga, halafu unawaambia mods wafute maneno yangu kwa woga?

Practice what you preach.
Hujanielewa, JF wanaweza kufungiwa mtandao wao kwa kuruhusu maneno makali kwa Rais! Hope we are together now! Siyo yule aliyeandika, yeye ameshajitoa sadaka, come what may!
 
Hujanielewa, JF wanaweza kufungiwa mtandao wao kwa kuruhusu maneno makali kwa Rais! Hope we are together now! Siyo yule aliyeandika, yeye ameshajitoa sadaka, come what may!
Nani huyo
 
Hili jamaa litatengeza noti hii miaka mitano mpaka mtashangaa,
huyu ni businessman,yaani hachezi mbali,kandarasi hizi zitakuwa utelezi tu juu ya ganda la ndizi
 
Hili jamaa litatengeza noti hii miaka mitano mpaka mtashangaa,
huyu ni businessman,yaani hachezi mbali,kandarasi hizi zitakuwa utelezi tu juu ya ganda la ndizi
Kumbe unamjua yuko na makampuny ya ujenzi, It company na mambo ya gesi !!!
 
Namshukuru Mungu kwamba Magufuli ameanza kufanya haya mambo mapema hata ikitokea asipochaguliwa uchaguzi ujao(maana idadi ya majuha inaongezeka kwa kasi)taifa litakuwa limepiga hatua.
Hatua anazochukua Magufuli kuliweka hili taifa kwenye mstari ulionyooka naziunga mkono100%
 
Hujanielewa, JF wanaweza kufungiwa mtandao wao kwa kuruhusu maneno makali kwa Rais! Hope we are together now! Siyo yule aliyeandika, yeye ameshajitoa sadaka, come what may!

Unajuaje kwamba sijakuelewa?

Kipi ambacho sijakuelewa na umejiridhisha kivipi kwamba sijakuelewa bila hata ya kuniuliza nilichoelewa ni kipi?

Kwanini JF wasiweze kupinga kufungiwa kwa kufungua kesi mahakamani?

Kama JF motto yetu ni "Where We Dare To Talk Openly" kwa nini JF as a forum tuogope kusema ukweli wazi?
 
Kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…