Odinga umeshapotea achana na Tanzania!!

Odinga umeshapotea achana na Tanzania!!

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,557
Reaction score
57,856
Nimeangalia Gazeti la mtanzania Leo nikakutana na ukakasi eti anajigeuza mshauri wa watanzania upuuzi mtupu siasa za kenya zimemshinda analukia za Tanzania ni ujinga wa hali ya juu!!
Eti anawashaanga wapinzani kutokaa na kuelewana na Tulia!!

Eti ana siri kwa nini magufuli amezuia maandamano!!!

Huu ni unafiki wa kiwango cha PhD kwako umpige mkeo kwa jilani uzuie mwanamke asipigwe??

Odinga umefilisika kisiasa wakenya wamekuupuuza sasa umeamia Tanzania?

Hivi ilikuwa lini mpinzani wa Tanzania alienda Kenya kuongelea siasa za huko mnikumbushe!!!
 
1471773984120.jpg
 
Odinga anatumia vizuri Ruzuku kutoka serikalini, Anatumia ofisi yenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani kenya.

Odinga habadili katiba ya chama kukifanya cha ukanda na udikteta ndani ya chama.

Odinga anarusuhu kukosolewa ndani ya chama
Na kila mtu kuwa na maoni yake.

Kwahio huyo si mwanachama Msaka Tonge wala Kibendera
 
Acha unafiki kwanza ujui lolote ujui Kenya !!!
Kenya ndio nchi yenye utitiri ya vyama vya siasa kila kabila lina chama chake !!
Odinga ni chief wa Odm na hajawai acha hiyo nafasi tokea Odm imeanzishwa sasa wewe unaongea nini
 
Unayemsifia alichaguliwa lini kushika hayo madaraka ndan ya chama chake ? Toka 1992 nasikia Odinga hadi leo
 
Acha unafiki kwanza ujui lolote ujui Kenya !!!
Kenya ndio nchi yenye utitiri ya vyama vya siasa kila kabila lina chama chake !!
Odinga ni chief wa Odm na hajawai acha hiyo nafasi tokea Odm imeanzishwa sasa wewe unaongea nini
Wewe Mbowe alikuwa mwenyekiti huja jitambua
Leo una miliki simu bado mwenyekiti
Yeye chief?
 
Hehehe a
Nyie mnapo iongelea kenya?!
Sisi tunaikosoa Kenya kwa mambo ya competition biashara kwa sababu ya lobbying yao sio siasa siasa za ndani kama bunge utakiwi kuyaingilia hatharani
 
Anatafuta urafiki na baba J ili asaidiwe vikosi wakati wa uchaguzi. Asituingize kwenye mambo yao ya vita vya uchaguzi sisi tulishamalizana na uchaguzi sasa hivi tuna mambo yetu ya ukuta, hapa kazi tu, mwendo kasi, watumishi hewa, kutumbua majipu, kurudia chaguzi ndogo n.k
 
Odinga anatumia vizuri Ruzuku kutoka serikalini, Anatumia ofisi yenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani kenya.

Odinga habadili katiba ya chama kukifanya cha ukanda na udikteta ndani ya chama.

Odinga anarusuhu kukosolewa ndani ya chama
Na kila mtu kuwa na maoni yake.

Kwahio huyo si mwanachama Msaka Tonge wala Kibendera
Odinga ni mgombea wa kudumu wa urais Kenya.
 
Sio unafiki juzi katoka kuandamana na kupata tume huru ya uchaguzi kwao Kenya sasa Nani mnafiki hapo Mimi sio chadema lakini hana uhalali wa kuingelea Tanzania kwa chochote kama Nani yeye??
Anaurafiki wa kitambo Sana na Mkuu ss naona anajaribu kujiwekaweka angalau apate headlines lkn ni upuuzi tu usio na mashiko. Hivi wanazuia vyakula kuuzwa Kenya ili wamtoe aliye madarakani mbinu mgando Sana hizo wafanyabiashara wanaumia surplus kibao perishable goods zinawaletea headache kila kukicha hamna mtetezi. Yaan hyu raila angajifungia tu mdomo asitake kuamsha vilivyolala.
 
Nimeangalia Gazeti la mtanzania Leo nikakutana na ukakasi eti anajigeuza mshauri wa watanzania upuuzi mtupu siasa za kenya zimemshinda analukia za Tanzania ni ujinga wa hali ya juu!!
Eti anawashaanga wapinzani kutokaa na kuelewana na Tulia!!

Eti ana siri kwa nini magufuli amezuia maandamano!!!

Huu ni unafiki wa kiwango cha PhD kwako umpige mkeo kwa jilani uzuie mwanamke asipigwe??

Odinga umefilisika kisiasa wakenya wamekuupuuza sasa umeamia Tanzania?

Hivi ilikuwa lini mpinzani wa Tanzania alienda Kenya kuongelea siasa za huko mnikumbushe!!!
tofauti na wapinzani wa kenya chadema ni wapinga maendeleo. dunia inawashangaa cdm kuvaa njuga kumpinga kiongozi kama jpm.
 
Ukawa wamuunge mkono Uhuru kenyata kwenye uchaguzi ujao Kenya,kenyata pia awaunge mkono ukawa 2020,
 
Back
Top Bottom