Odinga kuwa rais wa Kenya

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,598
3,671
Sera ya mambo ya nje ya marekani kwa sasa regardless ya Obama kushinda au kushindwa ni lazima raila awe rais wa Kenya, sitaki Maswali ila ukweli ndio huu. La kujiuliza Jeff unajua uhusiano binafsi wa baadhi ya wanasiasa wa tanzania na raila? usikose thread yangu siku ya jumatano nikikufanunulia vema wanasiasa hao na maslahi Yao kwa odinga. They are from both the ruling and opposition get tuned, ila sitaki umbea na speculations hapa.
 
Umejihami kwelikweli kwamba hutaki maswali, anyway, I don't see that happening!!!!!
 
Ungesubiri mpaka j tano mkuu.hata hivyo bila kujali sera za marekani au burundi,Odinga ndiye rais ajaye wa kenya.he has been tested and aproved,ndio maana wanasiasa walafi wasiokuwa na mapenzi mema na wakenya wanafanya kila namna ili mradi Odinga asiingie ikulu ya kenya.yetu macho lets wait and see.
 
Sera ya mambo ya nje ya marekani kwa sasa regardless ya Obama kushinda au kushindwa ni lazima raila awe rais wa Kenya, sitaki Maswali ila ukweli ndio huu. La kujiuliza Jeff unajua uhusiano binafsi wa baadhi ya wanasiasa wa tanzania na raila? usikose thread yangu siku ya jumatano nikikufanunulia vema wanasiasa hao na maslahi Yao kwa odinga. They are from both the ruling and opposition get tuned, ila sitaki umbea na speculations hapa.

I like your avator PhD...I think most when drunk....teh teh teh! Inshallah, tutaisoma hiyo Jtano!
 
Hivi Waafrika sisi tuna akili kweli?!! je sera ya Kenya kuhusu nani awe Rais wa US unaijua?!! hebu acheni ujuha huu bana..kwani wakenya hawawezi kuchagua mtu mpaka hao wauaji wa US WASEME?!!
 
Hivi Waafrika sisi tuna akili kweli?!! je sera ya Kenya kuhusu nani awe Rais wa US unaijua?!! hebu acheni ujuha huu bana..kwani wakenya hawawezi kuchagua mtu mpaka hao wauaji wa US WASEME?!!

Hawa wameharibu Tz kwa ujuha, ndio wanaomba Raila awe rais aharibu Kenya kijuha
 
sera ya mambo ya nje ya marekani kwa sasa regardless ya obama kushinda au kushindwa ni lazima raila awe rais wa kenya, sitaki maswali ila ukweli ndio huu. La kujiuliza jeff unajua uhusiano binafsi wa baadhi ya wanasiasa wa tanzania na raila? Usikose thread yangu siku ya jumatano nikikufanunulia vema wanasiasa hao na maslahi yao kwa odinga. They are from both the ruling and opposition get tuned, ila sitaki umbea na speculations hapa.

yaani i am praying for raila odinga to become a keanyan president i like him and i am sure then kenyan would enjoy his leadership
i am tanzanian but i like our neighbour to accept him
god bless raila odinga and family
god bless kenya
amen
 
We mwenyewe umeleta umbea na speculations.
Leta points zako kwanza ndio unikataze umbea!
 
If anyone believes without a doubt that Raila will be kenyas next president ,then you are in for a shocker.He is good in politics but not in leadership.And i bet his closeness to those Tz politicians you talk about is only because of Ujamaa/Majimbo ideologies which no Kenyan wants.
 
ikiwa hamjui, nilisikia yeye huwatembelea waganga wa tz ila sio wanasiasa, ili wamsaidie kupata kura kwa wingi. lakini sidhani atakuwa rais wetu huyo.
 
(ODM strongman) and prominent
Nairobi businessman Jimnah Mbaru
have joined Deputy Prime Minister
Uhuru Kenyatta’s bandwagon, The
National Alliance (TNA) party.
According to a source close to the
TNA operations in Nairobi, the two
influential politicians are in the final
negotiations with top party officials
to declare their allegiance to the
Gatundu South legislator.
This is a big blow to Prime Minister
Raila Odinga’s campaign since Ndolo
has been very influential in his
presidential campaigns especially in
the murky Nairobi politics. Ndolo
and Mbaru are both gunning for
Nairobi gubernatorial seats.
Meanwhile, Former Administration
Police Commandant Mr.Kinuthia
Mbugua has also joined Uhuru’s
party the TNA and declared that it
will be his vehicle as he seeks the
seat for Nakuru County
Governorship in next year’s general
election.
Among the prominent politicians
who have joined TNA in the recent
days are nominated MP Rachael
Shebesh and Starehe MP Margaret
Wanjiru.
Romour has it that Cooperative
Minister Joseph Nyaga is also
angling towards TNA.
 
Tna is the party to watch come nxt year it will b in state house pap wid jomos son prezzo dats da fact farasi ni mmoja kwenye mashidano wengine ni punda huh
 
Shida ya siasa za Kenya zinaendeshwa na ukabila zaidi. Hata uchangiaji wa mada zinazohusu Kenya huwa ni ngumu kuchangiwa na maThinker wa TZ sababu ya mambo hayo.
Kwa mfano ukichukua wakikuyu kumi ukiwaambia waandike humu utaona watamwandika vibaya wa ODM na ukichukua wajaluo kumi nai wataandika ubaya wa TNA. Hii ni mbaya sana kwa demokrasia. Igeni TZ sisi tunaandika ubaya na uzuti ws mtu au chama. Kwa mfano Wasira mkubwa yuko CCM na juzi akina Wasira watoto wamejiunga na Chadema. Hii ndiyo siasa.
 
There is nothing unique in that, siasa zetu ni za ukabila sababu makabila hayajatangamana sana hivi kwamba sehemu nyingi kuna asilimia kubwa sana ya watu wa kabila moja. Siasa duniani ukitzama kwa undani hata Marekani inayotumika kama kigezo zina ujimbo mwingi sana. Zika sehemu ambazo hata kabla ya uchaguzi kufika unaweza tabiri kuwa atachaguliwa mtu wa chama fulani.
Hakuna tofauti ya ukabila na mtazamo wa kimajimbo, moja tu ndio inakuwa 'christened to sound good''.
 
Wakenya tuzinduke kutoka siasa kali za umajimbo. Ni njia rahisi ya kugawanya wakenya kwa misingi ya kikabila
 
Siasa za Kenya zina ugumu wake. Kama roho mbaya ya ukabila ikiondoka mambo yatakuwa ya kifurahisha sana. Lakini ukabila utaishaje?
Jaribu kutembea katika mitaa ya Nairobi uone. Lugha ya Kikuyu inazungumzwa utadhani ndio lugha kuu.
Nilimuuliza mwendesha bodaboda mmoja kwa nini lugha hii yazungumzwa sana kuliko kiswahili na hata kingereza? Yule jamaa alinibu kuwa "wee wachana na Tz, huku kwetu mkoloni mweupe alipoondoka alimwachia mkikuyu aendeleze ukoloni wake" Nkashangaa.
 
Sera ya mambo ya nje ya marekani kwa sasa regardless ya Obama kushinda au kushindwa ni lazima raila awe rais wa Kenya, sitaki Maswali ila ukweli ndio huu. La kujiuliza Jeff unajua uhusiano binafsi wa baadhi ya wanasiasa wa tanzania na raila? usikose thread yangu siku ya jumatano nikikufanunulia vema wanasiasa hao na maslahi Yao kwa odinga. They are from both the ruling and opposition get tuned, ila sitaki umbea na speculations hapa.

Hapo in red tumeshaziona dalili za udikteta. Utashangaa na roho yako yote jinsi tutakavyo kubana. Think before you post and be very sure of what you want to say.
 
Back
Top Bottom