October 31st?

October 31st?

Stapler

Member
Joined
May 17, 2010
Posts
17
Reaction score
0
Siku ile ya tareh 5/5/2010 akiwa mbele ya wazee wa Dare s alaam JK huku akiwaita wafanyakazi mbayuwai, alitamba sana akisema. Namnukuu, “Mimi ndio mwajiri wa wafanyakazi wote hivyo atakaye goma nitamfukuza kazi”. MPENDWA MFANYAKAZI MWNZANGU, WAKATI WAKO WA KUTAMBA UMEFIKA. TAREH 31/10/2010 KWA NGUVU ZOTE MBELE YA KARATASI YA KUPIGA KURA NENDA KASITISHE AJIRA YAKE. MWAJIRI DR. SLAA AMBAYE ATAJALI MASLAHI YAKO. TUMA UJUMBE HUU KWA WAFANYAKAZI WOTE UNAOWAFAHAMU KUOKOA TAIFA LAKO
 
Mgaya kesha utuma ujumbe jana pale kwenye siku ya waalimu duniani.
 
63880_118772174845564_110866455636136_129979_2778589_n.jpg


Angalia unachagua gari gani ya kupanda kati ya hayo mawili
 
Back
Top Bottom