OCS amshushia kipigo DAS , Jino lang,oka

OCS amshushia kipigo DAS , Jino lang,oka

RUKAKA

Senior Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
100
Reaction score
12
Zoezi la Usafi wa mazingira wilayani Biharamulo limeingia Doa pale DAS ambaye ni mdau mkuu wa zoezi hilo kufuatia agizo la RC mkoani Kagera Jana Kupambana na askari wenye hasira waliomtembezea kipigo baada ya kumshurutisha mmoja wao aliyeagizwa na OCS kufanya usafi na kuacha gumzo katika mji wa Biharamulo. Taarifa hizo zinaeleza kuwa jino DAS hana kufuatia kipigo hicho.
 
source ingeongeza nguvu ya thread yako.

Ataweka jino la bandia.
 
Bungeni wapo wabunge wa upinzani na mawaziri wanne. Lukivu, mwanri, mkuchika na AG. Wengine wapo kwenye kikao cha dharura kuzibwa midomo yao. JE TUTAFIKA?
 
Back
Top Bottom