Siamini kama wewe, ninavyokuheshimu hapa jamvini unaweza kuuliza maswali kama hayo. Wakati mengine tayari yana majibu katika thread, au mku unalo lako jambo. Nway ntakujibu hilo la pili; kuna mikutano ya ujenzi wa chama.
mkuu umejibu vyema bila kuleta siasa kama ni mtihani wewe umegonga miaOperesheni Chukua Igunga
nimeuliza ili kuwasaidia ma guest sio kila mtu anajua kifupisho cha hii operesheni ya igunga, hope umenipata content nimeisoma na ndio maana nikamwambia kuwa kila la kheri huko igunga...Mh,ivuga soma basi content kwanza sio title then una comment
magamba yanageukana.. safi sanaKuna tetesi kuwa RA katia mkono wake kwenye OCI. Cha msingi CDM, tuhakikishe jimbo tunaliweka kibindoni.
Je huoni kuwa kufanya mikutano sasa hivi wakati hilo jimbo liko wazi sio kuvunja sheria?.Je hiyo haitaonekana kama ni kupiga kampeni kabla ya uchaguzi?
Siyo kampeni kwa vile hawana mgombea wanae mnadi. Wangekua tayari wana mtu wao wanaomba wananchi wampigie kura muda ukifika ndiyo ingekua kuvunja sheria za uchaguzi. Kama unavyo takiwa kufahamu mkuu hakuna kampeni bila mgombea. Unless kuwe na ushahidi kuwa kuna mtu wameanza kumnadi.
sio OIC ni OCI .Mkuu haiwezi kuwa OIC operation igunga for Chadema?
Sheria gani hiyo inayovunjwa,Je huoni kuwa kufanya mikutano sasa hivi wakati hilo jimbo liko wazi sio kuvunja sheria?.Je hiyo haitaonekana kama ni kupiga kampeni kabla ya uchaguzi?
Hata kama wangekuwa na mgombea hakuna sheria ya kuzuia hadi pale atakapothibitishwa na Msajili wa vyama wala siyo NEC. Kama mtakumbuka mwaka jana mara Kamati kuu ya Chadema kumpitisha Slaa kuwa mgombea urais walimzungusha mikoa yote watu wakasema ameanza kampeni, hawakujua kuwa kujulikana rasmi kuwa wewe ni mgombea lazima msajili akutangaze hadharani.By MwanaFalsafa1![]()
![]()
Siyo kampeni kwa vile hawana mgombea wanae mnadi. Wangekua tayari wana mtu wao wanaomba wananchi wampigie kura muda ukifika ndiyo ingekua kuvunja sheria za uchaguzi. Kama unavyo takiwa kufahamu mkuu hakuna kampeni bila mgombea. Unless kuwe na ushahidi kuwa kuna mtu wameanza kumnadi.
Siamini kama wewe, ninavyokuheshimu hapa jamvini unaweza kuuliza maswali kama hayo. Wakati mengine tayari yana majibu katika thread, au mku unalo lako jambo. Nway ntakujibu hilo la pili; kuna mikutano ya ujenzi wa chama.
Mchungaji mmoja alikua anahubiri,na katika mahubiri yake mama mmoja alikua akimuangalia
analia kweli kweli,basi yule mchungaji akaendelea kuhubiri akijua "neno" lina muingia yule mama!
Baada ya ibada akamfuata yule mama akamuuliza:-
mchungaji: inaonekana umemkosea Mungu sana,ni dhambi gani hiyo ili nikuombee?
mama:sijafanya dhambi yoyote mchungaji,ila kila nilipo kua nakuona na ndevu zako hizo
nilikua nakumbuka beberu wangu aliye ibiwa week moja iliyo pita!
mchungaji: *************!!!!!!!!!!!!?????####
Wamama hao kulia haimaanishi ushindi kwa wale wanao watolea machozi,ila ni busara kuwadadisi wanalilia
lini,yawezekana wametapeliwa sana na kila wakimuona mwanasiasa wanataka "kumla nyama" ila
dhamira zao zinawasuta na kujikuta wanalia,msishabikie kila kitu kwa kudhani kiko on your beneficial side
mjomba analysis yako ni superb na hasa kwenye maeneo muhimu ya focus, logic, organization, morphology na support details ni za nguvu
utakuwa ulitoka na A ya nguvu ya DS mlimani kama ulipitia huko.
Taarifa zingine nilizozipata punde tu baada ya kurusha hiyo post, zinasema hali ya namna hiyo kama ilivyotokea katika Kijiji cha Mwamashimba, pia imetokezea huko Ijogohya, Imalanguzu. Wanakijiji wanakimbilia kujiunga CHADEMA, kwa kasi ya ajabu. Aliyetoa taarifa yeye anasema "kijiji kizima kimehamia CHADEMA (lakini nimemkatalia kusema lugha hiyo, haiwezekani kijijiji kizima! Kijiji kizima aisee! hapana) Lakini kwa wale wasiojua, vijijini wananchi wanajivunia sana kadi. Nimewahi kushuhudia wengi wao wakishakabidhiwa kadi, kwa kununua, huwa wanazikumbatia kwa furaha utafikiri wamepata mkombozi hivi. Nitaendelea kuwapatia taarifa. Hii ya mwisho aliyenipatia/kunijuza, alikuwa amepanda juu ya mti ili afanikiwe kupiga simu. Mawasiliano ni shida balaa. This is interior penetration brothers. Hiyo ndiyo OCI (Operesheni Chukua Igunga).