Ocean Road kuitwa Barack Obama road

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
1,021
Reaction score
189

​
Katika kumuenzi rais wa Marekani barabara ya Ocean (Ocean Road) itazinduliwa upya na Barack Obama na itaitwa Barack Obama road

Source: ITV Habari

Hii imekaaje?
 
Attachments

  • ocean-road-tanzania.jpg
    55.5 KB · Views: 8,090
Meck sadick kasema hiyo ni kama zawadi ambayo manispaa ya Ilala imeamua kumpa Rais wa Marekani baraka Obama.
Mimi naona wamekosea kufanya hivyo. wangempa kinyago cha samaki sababu samaki ndo ipo kwenye nembo ya Ilala. mia
 
Katika kumuenzi rais wa Marekani barabara ya Ocean (Ocean road) itazinduliwa upya na Barack Obama na itaitwa Barack Obama road
 
MWAI KIBAKI ana barabara imejengwa 4 ways THIKA SUPER-EXPRESS HIGHWAY,wewe unamwita hapa unatafuta kichochoro cha matajiri uchwara wa MBEZI beach kukwepea traffic jam unakiita MWAI KIBAKI ROAD?Ndiyo maana mzee wa watu akashauri WATZ mtembee tembee hata huku EAST AFRICA muone wenzenu wanafanya nini!PITY!
 
Hvi Kibaki kaifanyia nini Tz
 
Rais wa Marekan anatarajiwa kuwasili iv karibuni hapa TANZANIA. Moja ya mambo atakayoyafanya katika ziara yake hapa nchini, ni pamoja na kufungua barabara ya OCEAN ROAD. Ambapo pamoja na kuifungua itabadilishwa jina na kupewa jina lake. Ni jambo ambalo litafanyika ili kuweka kumbukumbu ya ujio wake huo mkubwa hapa nchini. chanzo: habari ya ITV.
 
Hii nayo ni hoja ya kisiasa? jifunzeni kuweka habari zenu mahala panapo stahili! Mods tafadhalini, ipelekeni jukwaa husika nalo ni habari na hoja mchanganyiko.
 
old bagamoyo sasa mwaikibaki,
morogoro road itaitwa Miraji/Riziwani road
 
Meck sadick kasema hiyo ni kama zawadi ambayo manispaa ya Ilala imeamua kumpa Rais wa Marekani baraka Obama.
Mimi naona wamekosea kufanya hivyo. wangempa kinyago cha samaki sababu samaki ndo ipo kwenye nembo ya Ilala. mia
Anastahili kabisa kupewa barabara!!!! Hao wawekezaji uchwara waliouziwa vitalu na mbuga za wanyama hadi wanaweka mitandao yao ya kimamlaka kama kule kwa wamaasai wametupa kitu gani? Badala yake ni kuvuna wanyama walio hai na kuwasafirisha kwa ndege eti na usalama haufahamu.
 
Hii nayo ni hoja ya kisiasa? jifunzeni kuweka habari zenu mahala panapo stahili! Mods tafadhalini, ipelekeni jukwaa husika nalo ni habari na hoja mchanganyiko.

İmewekwa hapa kwa 7bu inagusa intrest za wengi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…