OCD-Zuberi kushitakiwa (Ocampo kuitembelea Arusha). | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

OCD-Zuberi kushitakiwa (Ocampo kuitembelea Arusha).

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Logo, Nov 3, 2011.

 1. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Taarifa nilizozipata kutoka chini ya kapeti zinasema kuwa timu ya wanaharakati imeweza kuishaiwshi mahakama ya ICC kuja kufanya unchunguzi na kuweza kuwashitaki waliofanya mauaji katika maeneo haya:-

  1. Arusha siku ya maandamano.
  2. Tabora polisi walifyatulia risasi na kuua watu.
  3. Mgodi wa Mara pale polisi ilipofyatulia watu.'
  4. Igunga kwenye uchaguzi.
  5. Dodoma kwenye bomoa bomoa.
  nk.

  Inasemekana ushahidi wa chini chini umekamilika na kwamba Ocampo atawasili nchini mwezi ujao kwa ajili ya kufanya upelelezi na kujua ni akina nani walishiriki katika mauaji hayo. Aidha ushahidi uliopo unawahusisha moja kwa moja hawa:-
  1. OCD-Zuberi kutumia dola kuuua wanachi.
  2. JK- mauaji ya raia chini ya uongozi wake.
  3. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Arusha, Tbora, na Mara,

  Jiandaeni jamani hata Kenya walianza hivyo hivyo.

  Kuna watu wakitoka tu madarakani watatupwa jela.

  Nawakilisha
  Logo
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Tatizo ile mahakama haitoi adhabu za kunyonga :(
   
 3. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanatakiwa kufa pole pole hawa, wakinyongwa hawataambua maumivu ya yale walioyatenda.
   
 4. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Huyu Ocampo mnampa sifaa kuubwa kuliko uwezo wake.

  Jamaa alipoingizwa one-to-one na Uhuru Kenyatta, The Haque, mpaka nilimuonea huruma, Ocample ni mwepesi sana, na sitarajii kama atakurupuka tena kufungua mashtaka yanayodharirisha uwezo wake wa uchunguzi..
   
 5. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa wabongo subiri ni mteremko
   
 6. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Source of information is unreliable.
  Anyway, it's good idea. Let's buy time.
   
 7. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
 8. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  source of information: chini ya kapeti chanzo cha kuaminika
   
 9. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nasubiri kwa hamu!!
   
 10. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Sawa it's good deal, just in case.
   
 11. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Vipi kuhusu Zombe, au yeye hii haimhusu?
   
Loading...