Amesitisha mikutano ya vyama vya siasa,kwani kinana anaenda shughuli zipi?chama cha demokrasia na maendeleo kimejikuta katika mshangao mkubwa baada ya kuambiwa na ocd wa Arusha kuwa Amefuta mikutano yote ya vyama vya siasa ilikupisha ujio wa katibu wa ccm ndg Abdallahman Kinnan, ikikumbukwe cdm imepanga kufanya mkutano wake kesho maeneo ya kirombelo sokoni, ikumbukwe pia siku za karibuni kikwete aliwaasa ccm kuacha kulitumia jeshi la polisi kujijenga hii inamaana OCD anaubavu kuliko kikwete!? lakini chadema wamesisitiza kuwa mkutano wao uko pale pale licha ya vitisho vya OCD...
majibu ya lema kwa OCD: unajaribu kufanya dharau katika jambo muhimu na la kisheria, sasa kesho tutafanya mkutano wa chama chetu kilombero na siyo ombi kwako ni taarifa kama ulivyopokea katika barua yetu, kwa muda mchache tunakutazama unafikiri unaweza kuzuia haki na ukweli nakama unajifunza kuua sisi tunajifunza kufa, wacha dhara fanyakazi yako kwa uadilifu..
OCD must be sickly not even sick

Kesho tunafanya mkutano kama kawaida na tutakua na picha za tembo wakiwa wanalia kuonyesha ni jinsi gani CCM imekuwa chama cha majangili.
OCD kaa ukijua kuwa mwanga wa tochi hauwezi kuunguza nyumba.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums