Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimejikuta katika mshangao mkubwa baada ya kuambiwa na ocd wa Arusha kuwa Amefuta mikutano yote ya vyama vya siasa ilikupisha ujio wa katibu wa CCM ndg Abdallahman Kinnan, ikikumbukwe cdm imepanga kufanya mkutano wake kesho maeneo ya kirombelo sokoni, ikumbukwe pia siku za karibuni Kikwete aliwaasa CCM kuacha kulitumia jeshi la polisi kujijenga hii inamaana OCD anaubavu kuliko kikwete!? Lakini chadema wamesisitiza kuwa mkutano wao uko pale pale licha ya vitisho vya OCD...