OCD wa Arusha aendelea kutumika na CCM.

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimejikuta katika mshangao mkubwa baada ya kuambiwa na ocd wa Arusha kuwa Amefuta mikutano yote ya vyama vya siasa ilikupisha ujio wa katibu wa CCM ndg Abdallahman Kinnan, ikikumbukwe cdm imepanga kufanya mkutano wake kesho maeneo ya kirombelo sokoni, ikumbukwe pia siku za karibuni Kikwete aliwaasa CCM kuacha kulitumia jeshi la polisi kujijenga hii inamaana OCD anaubavu kuliko kikwete!? Lakini chadema wamesisitiza kuwa mkutano wao uko pale pale licha ya vitisho vya OCD...
 
Huu ndio upumbavu wa ajabu sana!
Kwani katibu mkuu wa ccm ni mtumishi wa serikali?
Inashangaza ccm kuendelea kuitumia jeshi la polisi kama kondomu.
Kitaeleweka tu
 
chama cha demokrasia na maendeleo kimejikuta katika mshangao mkubwa baada ya kuambiwa na ocd wa Arusha kuwa Amefuta mikutano yote ya vyama vya siasa ilikupisha ujio wa katibu wa ccm ndg Abdallahman Kinnan, ikikumbukwe cdm imepanga kufanya mkutano wake kesho maeneo ya kirombelo sokoni, ikumbukwe pia siku za karibuni kikwete aliwaasa ccm kuacha kulitumia jeshi la polisi kujijenga hii inamaana OCD anaubavu kuliko kikwete!? lakini chadema wamesisitiza kuwa mkutano wao uko pale pale licha ya vitisho vya OCD...
Amesitisha mikutano ya vyama vya siasa,kwani kinana anaenda shughuli zipi?
 
majibu ya lema kwa OCD: unajaribu kufanya dharau katika jambo muhimu na la kisheria, sasa kesho tutafanya mkutano wa chama chetu kilombero na siyo ombi kwako ni taarifa kama ulivyopokea katika barua yetu, kwa muda mchache tunakutazama unafikiri unaweza kuzuia haki na ukweli nakama unajifunza kuua sisi tunajifunza kufa, wacha dhara fanyakazi yako kwa uadilifu..
 
Kinana ndo anaandaliwa watu? Arusha kinana hapawezi,ccm ishavuliwa chh.upi mda mrefu.
 
majibu ya lema kwa OCD: unajaribu kufanya dharau katika jambo muhimu na la kisheria, sasa kesho tutafanya mkutano wa chama chetu kilombero na siyo ombi kwako ni taarifa kama ulivyopokea katika barua yetu, kwa muda mchache tunakutazama unafikiri unaweza kuzuia haki na ukweli nakama unajifunza kuua sisi tunajifunza kufa, wacha dhara fanyakazi yako kwa uadilifu..

Kama unajifunza kuua na sisi tunajifunza kufa?
Nooooo! Mbona tumesjakifunza kufa zamani sana?
 
OCD must be sickly not even sick

Kuwa na viongozi wa kijeshi wa namna hii kunatufanya wengine kujiuliza namna walivopata hivi vyeo. Hivi unawezaje kufanya maamuzi ya hovyo kama haya. Wallah naapa, mwanangu wa miaka 5 hawezi kufanya upuuzi kama huu
 
Kesho tunafanya mkutano kama kawaida na tutakua na picha za tembo wakiwa wanalia kuonyesha ni jinsi gani CCM imekuwa chama cha majangili.

OCD kaa ukijua kuwa mwanga wa tochi hauwezi kuunguza nyumba.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
majibu ya lema kwa OCD: unajaribu kufanya dharau katika jambo muhimu na la kisheria, sasa kesho tutafanya mkutano wa chama chetu kilombero na siyo ombi kwako ni taarifa kama ulivyopokea katika barua yetu, kwa muda mchache tunakutazama unafikiri unaweza kuzuia haki na ukweli nakama unajifunza kuua sisi tunajifunza kufa, wacha dhara fanyakazi yako kwa uadilifu..

Safi sana kamanda Lema kwa kumwambia ukweli huyo mpumbavu asiyejua mipaka ya kazi yake.
 
Kwani Kinana ndio nani? Mpaka mkutano usifanyike! Nyie maafande someni sheria na katiba ya nchi mtapata majibu, mnakera sana imekula kwenu mkutano uko palepale.
 
Kesho tunafanya mkutano kama kawaida na tutakua na picha za tembo wakiwa wanalia kuonyesha ni jinsi gani CCM imekuwa chama cha majangili.

OCD kaa ukijua kuwa mwanga wa tochi hauwezi kuunguza nyumba.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Pamoja sana mkuu....
 
Kinana ndio nani? na CCM ni nini? "Tusi siwezi" lakini huyu OCD ni mjingaa tu
 
majibu ya lema kwa OCD: unajaribu kufanya dharau katika jambo muhimu na la kisheria, sasa kesho tutafanya mkutano wa chama chetu kilombero na siyo ombi kwako ni taarifa kama ulivyopokea katika barua yetu, kwa muda mchache tunakutazama unafikiri unaweza kuzuia haki na ukweli nakama unajifunza kuua sisi tunajifunza kufa, wacha dhara fanyakazi yako kwa uadilifu..

Crashwise kamanda Lema amekosea sana alitakiwa amwambie tumeshazoe kufa ila na yeye ajue atakufa tena kifo kibaya sana kuliko anavyotaka kuuwa wananchi wanachama wa chadema kufa kwakwe nilazima neno litimie maana kila mwanadamu aliezaliwa namwanamke lazima afe
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom