OCD Rungwe aapa kufunga wapinzani

OCD Rungwe aapa kufunga wapinzani

Mwacheni ajitape kwa ujinga wake lakini dawa yao tunayo huku mwanza na tunaweza kuwaazima mkihitaji!
 
tutahakikisha kwamba anahamishwa haraka sana , tutapiga FITNA tu , yeye si anajifanya mjanja , chezea vyote lakini siyo cdm , siku zake zinahesabika !

nyie cdm noma kama mmemtengenezea zitto zengwe iweje yeye mnaweza kusema kambaka dem wa slaa!
 
Funga tu hao kama wanakiuka sheria. Kafungwa Mramba itakuwa hao?

safiii san kwa kujua kuwa anaye kiuka sheria lazima aadhibiwe kwa hilo tupo pamoja sana, huwezi vunja sheria za nchi ukaachwa haiwezekani kabisa,,, lakini vipi yule mbakaji wa vijitoto vibichiii under 14 hajakiuka sheria?na vip wauzaji wa sembe hawakiuki sharia na je vipi yule mzee wa tujino twa tembo coz nasikia hadi tutembo tutoto kwake ni dili nae hakiuki sharia? Tusaidiane hapo kwanza ili mjadala usonge foward.
 
Mngetuambia tatizo nini kwanza

su unajua tena anaamini ukipambana sana na upinzani kwa serikali ccm wanaweza kumpa u IGP ,so hapo anajipendekeza ili aonekane apandishwe cheo si unajua ukiwa mtumwa ccm ni laana kubwa sana kwa taifa la watz!
 
Mngetuambia tatizo nini kwanza

su unajua tena anaamini ukipambana sana na upinzani kwa serikali ccm wanaweza kumpa u IGP ,so hapo anajipendekeza ili aonekane apandishwe cheo si unajua ukiwa mtumwa ccm ni laana kubwa sana kwa taifa la watz.
 
ocd wa wilaya ya rungwe bwana iblahim ameapa kufa na viongozi wa vyama vya upinzani habari za kuaminika zinasema mpaka sasa tayari ameshawafungulia kesi viongozi wanne wa vyama pinzani wilayani humo kamfungulia mwkt wa chadema aitwaye gwamaka mfaume katibu wa chadema kiwira aitwae michael simon mwenyekiti wa nccr mageuzi kata ya kiwira bwana simon mwakuna na mwkt wilaya cuf bwana asante sanga. na anajitapa kuwafunga kwakuwa ameishika mahakama ya wilaya hiyo

Mkakati wake utaferi njiani wananchi wengi wilayani kwake ni wspinzani wa chama chak e ataweza kuwafungulia wore??
 
safiii san kwa kujua kuwa anaye kiuka sheria lazima aadhibiwe kwa hilo tupo pamoja sana, huwezi vunja sheria za nchi ukaachwa haiwezekani kabisa,,, lakini vipi yule mbakaji wa vijitoto vibichiii under 14 hajakiuka sheria?na vip wauzaji wa sembe hawakiuki sharia na je vipi yule mzee wa tujino twa tembo coz nasikia hadi tutembo tutoto kwake ni dili nae hakiuki sharia? Tusaidiane hapo kwanza ili mjadala usonge foward.

Huo ni uongo wa wazi wazi, si kuna mkanda wake humu, hujauona? yule kama ni mtoto basi ni mkubwa kuliko mama'ke.
 
ocd wa wilaya ya rungwe bwana iblahim ameapa kufa na viongozi wa vyama vya upinzani habari za kuaminika zinasema mpaka sasa tayari ameshawafungulia kesi viongozi wanne wa vyama pinzani wilayani humo kamfungulia mwkt wa chadema aitwaye gwamaka mfaume katibu wa chadema kiwira aitwae michael simon mwenyekiti wa nccr mageuzi kata ya kiwira bwana simon mwakuna na mwkt wilaya cuf bwana asante sanga. na anajitapa kuwafunga kwakuwa ameishika mahakama ya wilaya hiyo
Wakiwa ni wahalifu au wezi unategemea angefanya vipi?
 
.." hata huko huko (CCM) sisi tupo" ni mabere Marando: Mubule asimuaga inyali akabalilo kafikile
 
Huo ni uongo wa wazi wazi, si kuna mkanda wake humu, hujauona? yule kama ni mtoto basi ni mkubwa kuliko mama'ke.
hivi unafikiri hili sakata ni lakutengeza watu kulitetea?? kwani nani asiye jua kuwa yule mtoto aliye jifanya ndie wa kapuya ni wakuchonga na wala sio yeye? kwa akili ndogo ningumu kuulewa mchezo ule lakin wake ma GT wamesha unyaka mchezo mzima unao chezwa na misukule ya kapuya ili kumlinda,hadanganywi mtu siku hizi na global nao wamenunuliwa na wamenunulika. njaa hizi!!??
 
Back
Top Bottom