kilght
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 635
- 182
OCD wa wilaya ya Rungwe bwana Iblahim ameapa kufa na viongozi wa vyama vya upinzani, habari za kuaminika zinasema mpaka sasa tayari ameshawafungulia kesi viongozi wanne wa vyama pinzani wilayani humo.
Kamfungulia m/kt wa CHADEMA aitwaye Gwamaka Mfaume, katibu wa CHADEMA Kiwira aitwae Michael Simon, mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kata ya Kiwira bwana Simon Mwakuna na mwkt wilaya CUF bwana Asante Sanga.
Anajitapa kuwafunga kwakuwa ameishika mahakama ya wilaya hiyo.