Uyu OCD wa Arusha asipoenda sambamba na system kandamizi atatupwa makao makuu ambapo hamna deal kama ambavyo baba Bazili Matei aligoma kuburuzwa na system kandamizi matokeo yake baada ya uchaguzi akatupwa makao makuu kupanga mafaili ya Mwema.Hivi IGP Mwema,wema wake upo wapi kwa watanzania? kwanini asichukue uamuzi mwepesi wa kumfuta huyu Gamba aliyevaa magwanda ya kaki na yaliyowekwa nyota mabegani?
Mzembe sana Zuzu beriberi eti OCD Arusha,Kwanini anatumia madaraka yake vibaya?
Naomba Ewe said mwana wa mwema onyesha wema wako kwa kumfuta kazi mara moja Zuzu wa beriberi!!
Nawakilisha
ASEEE HILI JAMAA
LIMESHALEWA MADARAKA
LINAWAITA WANAADAM WENZIE PANYb
lipewe likizo ya milele nyambaf kabisa
Hivi IGP Mwema,wema wake upo wapi kwa watanzania? kwanini asichukue uamuzi mwepesi wa kumfuta huyu Gamba aliyevaa magwanda ya kaki na yaliyowekwa nyota mabegani?
Mzembe sana Zuzu beriberi eti OCD Arusha,Kwanini anatumia madaraka yake vibaya?
Naomba Ewe said mwana wa mwema onyesha wema wako kwa kumfuta kazi mara moja Zuzu wa beriberi!!
Nawakilisha