OCD Ajigamba Kumkamata Salum Mwalimu

OCD wote elimu zao ni std. Macommission elimu zao za kuunga kova form four alipata zero.. Unategemea inteligencia hapo
 
Tatzo la hawa ma OCD ni elimu.

Wanadhani kukamata viongozi wa Upinzani ni kiki kwake, kumbe anamwongezea umaarufu Mwalimu.

Na CCM wenzie watamdharau pia.
Vibaka na majambaka wamejaa kitaa, wameshindwa-wao wanataka walioko majukwaani!!
Prof: Kapuya kabaka hata kesi hajasomewa au hata faili kufunguliwa na Polisi bado!
Tabu kweli kweli
 
Ah hahahaaa nimeona Kinana akihutubia usiku jana, naona kwa kada wa SISIEM huwa wanageuza usiku kuwa mchana
 
Hii mada imenikumbusha yule OCD aliyetwangwa makofi na mgombea wa magamba. Hii nchi ina vituko sana
 
Poti nipo majukumu tu yanakuwa mengi, kwema lakini?

....kwema sana Shy bush wameiharibu sana hii shule ilitakiwa iwe Chuo KIKUU ...Mungu ni mwema VIJANA wamechachamaa..

....cc Ntuzu cc Kiranga
 
Hivi wale askali waliompa adabu yule Top wa cuf,,,,,,wako wapi niwape zawadi.....mi nachowapendea polis siku hz wanasoma weng sana tupo nao chuo hapa.....wawapige tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…