Oc-mzazi - Nipe

Mziki wa Bongo kwa sasa uko mikononi mwa WCB...only that🤗
 
Uzee mbaya sana. Yani hapo sioni chochote kizuri. Wimbo umekaa kiKolomije tu.

Ngoja niendee kusikiliza MV Mapenzi wa DDC Mlimani Park, Sikinde ngoma ya Ukae.
 
Uzee mbaya sana. Yani hapo sioni chochote kizuri. Wimbo umekaa kiKolomije tu.

Ngoja niendee kusikiliza MV Mapenzi wa DDC Mlimani Park, Sikinde ngoma ya Ukae.
Sawa babu pongeza wajukuu hata kishingo upande
 
Kuniambia hivyo ni kutaka kunipangia maisha au,aliekuaambia akuambie vizurii zaidi kuna vitu kaacha [emoji23]
 
Video ni nzuri kwa budget yake, hata wimbo naweza kuupa 7 kwa kubase kwenye budget.

Akaze buti, safari ndo kaianza, watu wana invest sana kwenye muziki sasa hivi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…