Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Viol umeiona video? Nahitaji maoni yakoAjitahidi tu game ngumu
video nzuri,nimemkubali mwenye kibukta cha pink[emoji7]Viol umeiona video? Nahitaji maoni yako
Haahahahha[emoji23][emoji23][emoji23] sawa asantevideo nzuri,nimemkubali mwenye kibukta cha pink[emoji7]
hapo pamenifanya nikaangalie hiyo nyimboNi kijana kutoka Geita mwenye makazi yake yake Mwanza ni msanii underground anaefanya vyema ndio anachipukia hivyoo ,video yake mpya hii kajitahidi sana kuanzia nyimbo hadi video nimeweka kipande hapo ujionee pia nami nipo kwenye hiyo video nimevaa kaptura ya pink ole wenu mnichekee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuiangalia video nzima ingia hapa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Usisahau ku like na kushare pia
View attachment 878569View attachment 878571
Acha hizo, mweleze ukweli mwenziovideo nzuri,nimemkubali mwenye kibukta cha pink[emoji7]
Umelike na kushare? Kichwahapo pamenifanya nikaangalie hiyo nyimbo
Ndio inabidi uparudie kuangalia usisahau kushare plz na kulike kalagabahoPale ulipobinuka pangerudiwa rudiwa ingependeza zaidi..
Haya toa maoniAcha hizo, mweleze ukweli mwenzio
AmekudanganyaHaya toa maoni
Kanidanganya nini we si utoe yako mwenzio katoa ya kwake usilazimishe awe na mawazo yakoAmekudanganya
Unanilazimisha! Una kifua ?Kanidanganya nini we si utoe yako mwenzio katoa ya kwake usilazimishe awe na mawazo yako
Haya semaa sasa
Umelike na kushare ivuga?Video kali sana.
Mwambie dogo akaze na apeleka kazi yake kwenye media asikae nayo huko geita kwa wasukuma
KwaheriUnanilazimisha! Una kifua ?
HapanaUmelike na kushare ivuga?
Tayari inapigwa kwenye media anaishi Mwanza