Wilaya ya Karatu ni kati ya wilaya chache za mwanzo zilizokubali mageuzi.
Imekuwa ni mfano Wa kuigwa kwa wanamageuzi.Kwa muda mrefu ni marejeo hasa kwa CDM jinsi upinzani ulivyoleta nafuu kwa maisha ya wananchi.
Ni Halmashauri ya kwanza kufuta kodi ya kichwa,ya baiskeli(shagingi la mkulima),ya Mama Wafanyabiashara barabarani,ya mifugo.Wengine wakaiga.
Kwa siku hizi za karibini mwamko Wa wananchi umekuwa chini sana kwa CDM baada EL kuingia CDM,hatimaye kuwa mgombea urais.
Wana CDM wanashindwa kujibu mashambulizi kutoka kwa watani zao CCM kuhusu ujio Wa EL.Pia CCM kumleta mgombea makini DR Wilbert Lorri. Enzi za CDM Karatu inafikia ukingoni.
Ni tahadhari tu kwa CDM mpya.