obesity.....

Jestina

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,831
1,708
kwa vile am overweight,na kila nikipiita barabarani naona vibanda vya chips na kuku,nimeamua kuja na alternative....kuweka vibanda kibao vya kuuza salad na matunda.......jamani hii bussiness inalipa????:glasses-nerdy:
 
hailipi uswazi coz hamna obesity na mtu aliejazia anaonekana mambo yake poa, nenda masaki na obay au posta ndo utatoka
 
Back
Top Bottom