Bellino Member Joined Jan 29, 2012 Posts 65 Reaction score 10 Mar 24, 2012 #1 Rais OBASANJO akiwa ktk kikao anapigiwa simu na mkewe. Mazungumzo Mke.. Mume wangu majambazi wamevamia nyumbani... Obasanjo.... Sht haiwezekani mbona majambazi wote nipo nao hapa.
Rais OBASANJO akiwa ktk kikao anapigiwa simu na mkewe. Mazungumzo Mke.. Mume wangu majambazi wamevamia nyumbani... Obasanjo.... Sht haiwezekani mbona majambazi wote nipo nao hapa.
Hussein J Mahenga JF-Expert Member Joined Mar 5, 2012 Posts 751 Reaction score 656 Mar 24, 2012 #3 Jamani,hii kal ila napita kwnza nitarudi baadaye!
Bellino Member Joined Jan 29, 2012 Posts 65 Reaction score 10 Jul 25, 2012 Thread starter #4 Sir H said: Jamani,hii kal ila napita kwnza nitarudi baadaye! Click to expand... usirudi tena bwana wasije wakakugonga
Sir H said: Jamani,hii kal ila napita kwnza nitarudi baadaye! Click to expand... usirudi tena bwana wasije wakakugonga