Obamas wafananishwa na gorrilla

Obamas wafananishwa na gorrilla

Wanaomfananisha na gorilla ni hao wazungu waliofeli, ambao hata hawajitambui. Obama ni kichwa zaidi yao, ndio maana akakubalika hata awamu ya pili kuwaongoza hao wanaomfananisha na Gorilla. Hawana jipya hao, ni wivu tu.
 
hakuna jipya, ni kawaida kwa wanasiasa kuchezewa hivyo ...
 
Tusiwalaumu wazungu hata Tanzania kuna watu kwa kushindwa kwao tu wamefikia kumfananisha Wasira na Sokwe. Kumbuka kuwa hawa wote ni Watanzania.

Ni chuki za kijinga tu.
 
Nyani?ila wamesahau kuwa ni black prdnt anayeishi White house!.that feel great on their asses!
 
Tusiwalaumu wazungu hata Tanzania kuna watu kwa kushindwa kwao tu wamefikia kumfananisha Wasira na Sokwe. Kumbuka kuwa hawa wote ni Watanzania.

Ni chuki za kijinga tu.
Unataka kumfananisha Wasira na Obama? Kwa lipi? Sura?
 
Tusiwalaumu wazungu hata Tanzania kuna watu kwa kushindwa kwao tu wamefikia kumfananisha Wasira na Sokwe. Kumbuka kuwa hawa wote ni Watanzania.

Ni chuki za kijinga tu.

Sokwe ana afadhali mara mia elfu!!!! Yaani walimfananisha na huyu? Si kweli wanamwonea. Hebu mcheki tu

Kwa hiyo msiwashangae waliomfananisha Obama na nyani. Wote wanaomfananisha Wasira na Obama ni walioshindwa na hawana zaidi ila kuwa kama mahayawani.
 
Wanaomfananisha na gorilla ni hao wazungu waliofeli, ambao hata hawajitambui. Obama ni kichwa zaidi yao, ndio maana akakubalika hata awamu ya pili kuwaongoza hao wanaomfananisha na Gorilla. Hawana jipya hao, ni wivu tu.

Obama huyu huyu mke wa Mugabe au unaongelea yupi?
 
Ila mimi nawafananisha wazungu na Kitimoto,hadi harufu zinafanana
 
Bila Shaka mkuu. Kwangu mimi , ukimtukana mtu yeyote mweusi kwamba anafanana na gorilla, basi hujihisi kwamba na Mimi nimetukanwa.
 
Back
Top Bottom