Obama's shine in Asia trip...safi sana!

Tea Partiers na GOPIERS naona huwa wanachanganyikiwa kabisa wakimuona jinsi jamaa anavyo-shine nje ya US.:smile-big:
 
Yaani wamekamilika.
Duh!! ila hiyo ofisi si mchezo! naona Obama amekuwa mzee ghafla..kichwa ni mvi tupu
 
Shurkrani mkuu kwa nice photos..Wazungu hawapendiiii hahahah Republicans kama nawaona vile karibu wanapasuka wakiona hivi lakini they getta know Obama is a 'SHINING STAR ' worldwide.
 
Lol, wamependeza ila wawe makini maana kujitoa mhanga kama kawa. Angekuwa ndg yetu hapo bembea tu!
 
Shurkrani mkuu kwa nice photos..Wazungu hawapendiiii hahahah Republicans kama nawaona vile karibu wanapasuka wakiona hivi lakini they getta know Obama is a 'SHINING STAR ' worldwide.

Sio wazungu tuu, kuna wenzetu pi humu jamvini wanamuonea kinyongo. Kem subiri utawaona wakija na vi-comment vyao.
Leo mukulu ameingia Indonesia...pokea picha!

_49864281_010602468-1.jpg

_49864061_010602625-1.jpg

_49864289_010602888-1.jpg
 
Ukiwa na mke kama huyu hakna haja ya kutoka nje ya ndoa kabisaaa

We RayB unamanisha huwa unatoka nje...hahahahha (kidding mkuu!!!)
huwa nikitaka picha naenda kwenye post za Ab-Titchaz....asante mkuu kwa mipicha
 
The First Couple attended a state dinner in Jakarta on Tuesday night and a printed dress and statement necklace were on the style menu.
Michelle donned a beige-and-brown Derek Lam frock and the Smoky Quartz Bib Necklace by Ranjana Khan, her jeweler du jour, it seems (and wife of First Lady favorite Naeem Khan). She also wore a creation by Khan to dine with the Indian Prime Minister.

MICHELLE-OBAMA.jpg
 
Ab_T

Huwa nafikiri kama una "hisia" fulani na Michelle O. : Ni mawazo yangu tu:tape:

Umestukia eeeeh, mie pia nilikuwa nafikiria kama hivyo ila nikaona nikae tu na fikra zangu.....:smile:
Ab_T tuanzishie na za Sarah Palin basi; Si unajua ndie darling wao wa mrengo wa kulia.
 
Umestukia eeeeh, mie pia nilikuwa nafikiria kama hivyo ila nikaona nikae tu na fikra zangu.....:smile:
Ab_T tuanzishie na za Sarah Palin basi; Si unajua ndie darling wao wa mrengo wa kulia.

Mpo wengi nyie jamani...:doh:
 
Back
Top Bottom