Obama was attacked by Israel

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
Israeli presidential hopeful blasts Obama’s Iran plan

JERUSALEM
U.S. president-elect Barack Obama was attacked by Israeli Foreign Minister Tzipi Livni on Thursday for declaring his willingness to talk with Iran about its nuclear program.

Read More: Israel Foreign Minister
 
The good thing about Israeli politics is that politicians like Tzipora Livni will be in power for only few months and then she will be voted out. That is a good thing about Israeli democracy. Tzipora was praying that her hawkish friend Condi be the president of US, fortunately that did not happen.
 
Israeli presidential hopeful blasts Obama’s Iran plan

JERUSALEM
U.S. president-elect Barack Obama was attacked by Israeli Foreign Minister Tzipi Livni on Thursday for declaring his willingness to talk with Iran about its nuclear program.

Read More: Israel Foreign Minister

Hawa siasa zao zimejaa chuki kubwa dhidi ya mataifa ya kiarabu, labda kwa kufanya hivyo ndiyo watajihakikishia kupata kura toka kwa wananchi wao.
 
Sensationalism in the media once again, with their miss leading headlines.
 
..hivi Obama si alisema Jerusalem iwe mji mkuu wa Israeli?

..halafu huyu Mama anamshambulia Obama tena?!!

..jeuri ya Israeli inatokana na nguvu ya Wayahudi walioko USA.

..Chief Strategist wa kampeni ya Obama, David Axelrod, ni Myahudi.

..majuzi tena Obama kateua Myahudi mwingine, Rahm Emanuel kuwa Chief of Staff.
 
Siku zote Israel wana masimamo mmoja. Usijadili issues na mwarabu au mu-ajemi. hawaelewi. Kitendo cha huyu bwana Obama kusema ataongea na Raisi wa Iran kimewaudhi sana. Si ajabu siku za karibu wakaidunda Iran. Kwa wale wanaodhani kuwa bila Marekani Israel haiwezi ishambulia Iran wanajidanganya. Infact wale jamaa wako fit sana sana. Bahati mbaya sana mawazo ya watu wengi yanakimbilia kukingia kifua waarabu then kutokana na mgogoro wa Palestine na Israel na kitendo cha wale jamaa kuwadhibiti Waarabu 1968 na 1974, wanadhani kwamba ni Marekani ndiyo inaipa kiburi Israel. Israel kwa middle east ni zaidi ya Marekani. Wako kamili sana na wanamwona kila mtu aliyepo pale middle east kila siku.
 
YNIM,

..Ahmedinejad angemshambulia Obama ungesikia kelele za US media.

..inakuwaje huyu Mama Muisraeli anachwa abwabwaje kuhusu US President-Elect.

..unajua hii movement iliyomchagua Obama itakuja kukataa uonevu wa US na Israeli dhidi ya wa-Palestina.
 
.....ukiangalia vizuri US nayo inatawaliwa na Jews tuu,angalia media zote from foxnews ,bloomberg,NBC etc ni mali ya Jews,Wall Street ni Jewish tupu,Senators & Congess kibao ni jews,top scholars & scientist from Havard to Al parto ni jews,top billionaires Jews wanaongoza...Obama mwenyewe top advisors wake wengi ni jewish na hata waliompa pesa ni hao hao tuu....sioni Obama akibadilisha chochote katika hii saga ya Israel palestinian na sasa chief of staff wake ndio staunch supporter wa Israel na mwenyewe ni jewish,top advisor wake Axelroid ni Jewish....na inawezekana Obama akawa mbaya sana kwa Iranians kuliko hata Bush!
 
Siku zote Israel wana masimamo mmoja. Usijadili issues na mwarabu au mu-ajemi. hawaelewi. Kitendo cha huyu bwana Obama kusema ataongea na Raisi wa Iran kimewaudhi sana. Si ajabu siku za karibu wakaidunda Iran. Kwa wale wanaodhani kuwa bila Marekani Israel haiwezi ishambulia Iran wanajidanganya. Infact wale jamaa wako fit sana sana. Bahati mbaya sana mawazo ya watu wengi yanakimbilia kukingia kifua waarabu then kutokana na mgogoro wa Palestine na Israel na kitendo cha wale jamaa kuwadhibiti Waarabu 1968 na 1974, wanadhani kwamba ni Marekani ndiyo inaipa kiburi Israel. Israel kwa middle east ni zaidi ya Marekani. Wako kamili sana na wanamwona kila mtu aliyepo pale middle east kila siku.

Nilikuwa sijui kuwa Wairan nao ni Waarabu....!!
 
Nov. 11, 2008 –

Breaking months of silence about the presidential race, National of Islam leader Louis Farrakhan said Sunday that God has prepared Sen. Barack Obama for the challenges he'll face as president.

He added that Obama will be able to make positive changes with "God and people of good will," and he urged his followers to do their part, reports The Associated Press.

"President-elect Obama has energized all segments of the depressed, downtrodden, rejected and despised," he said in a 90-minute speech at Mosque Maryam on the city's South Side. "Now it is up to us to take the new energy that he has given us ... and channel that energy into making ourselves better."

Farrakhan, who said Obama draws a "oneness of spirit" from all people, admitted he stayed quiet about his support for Obama during the past few months out of fear his words would harm the Illinois senator's bid for the White House.

"For nine months, I kept quiet because I saw that the good words that I spoke about this beautiful young man at our Saviours' Day convention and the way they were misused," Farrakhan said of Obama. "I decided it would be better for me to just be quiet rather than be drawn into the controversy that was swirling around his pastor [the Rev. Jeremiah Wright], Father Pfleger and others."
 
Back
Top Bottom