Haya always Rais ,first lady au politicians ndio wanaendaga .Leo hii Rais wa USA kuchagua gay awakilishe USA ndio nini hii.Eti anataka kutuma message dunia nzima ikubali gay marriage na rights za lesbian Pia .Na eti Putin aache kuwanyanyasa gay .
Obama kaishiwa sera. wanawasaidia watoto wa wengine kuwa mashoga ila wao wanalindwa. ni hatari kutumia watu wengine kugomabana kisiasa (Kati ya USA na Rusia).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.