CPA
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 809
- 354
Obama secret service agents sent home from colombia for misconduct, inasemekana ni zaid ya agents 12 wamerudisha marekan na kupelekwa wengine kama replacement, obama yupo colombia kuhudhuria mkutano. Chanzo ijapokuwa hakijawekwa wazi, ila ni ulevi wa kupindukia wakiwa colombia na umalaya. Agents hao walifika colombia wiki moja kabla ya obama