Obama says Netanyahu's Iran speech contains 'nothing new'

Obama says Netanyahu's Iran speech contains 'nothing new'

Well,kuna vitabu vingi sana vya kihistoria ambavyo unaweza kuvitumia kama back up ya haya madai yako,naomba utaje vinne tu ambavyo vitakuambia Palestine ilikuwepo mwaka 1000

Kasome maandiko ya akina Herodotus in The Histories, Aristotle, Polemon, Pausanias na waandishi ya kiroma kama Ovid, Tibullus, Pomponius Mela, Pliny the Elder, Dio Chrysostom, Statius, Plutarch na Judean ambao wanasema kuwa karne ya 5BC, Palestine ilikuwa inajumuisha kati ya eneo la Phoenicia na Misri
 
EMT Thanx alot nimeipitia vizuri hiyo habari hapa tunaona jinsi ambavyo Wamarekani wamechoka kumbeba myaudi.

Inawezekana hawajachoka kumbena Myahudi bali Netanyahu.
 
Bibi Netanyahu's days as PM of Israël are numbered, we soon shall have a more lucid person as PM in the person of Hertzog of the Labour party, Bibi anaongoza kwa kukariri anasahau kwamba mazingira yamebadilika sana pale middle east, hawezi Tena kuwapuuza tena Waarabu, Hezbollah na Hamas sio factor ya kupuuza.

Kwani Israel imeenda kufanya nini kwenye ardhi ya watu? Lazima alie sana kwa sababu anawadhulumu wapelestina na anaendelea kufanya hujma.
Shenz Israel
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Usema umeanza kusoma historia ya mwaka 1948 historia ya kabla ya hapo huijui, uliza wanazuoni watakwambia. Kabla ya UN Isreal ilikuwepo.

Kabla ya huo mwaka 1946 Israel walikuwa asylum seekers tu huko Palestine, United Kingdom na USA mwaka huo 1946 walipiga sana Palestinian na hapo ndipo Jews walipopata nguvu kupora ardhi yao wapelestina, Israel ilipewa vifaa vya kijeshi, pamoja na ulinzi, everything
 

Attachments

  • 1425496239933.jpg
    1425496239933.jpg
    65.6 KB · Views: 148
  • 1425496248108.jpg
    1425496248108.jpg
    84.1 KB · Views: 137
with all due respect mkuu naomba nifahamu Iran ana control vp hayo mataifa mengine jirani

Ni nani ana finance Hamasa, Yemen, Shia militia wa iraq? nani sasa hivi ana cordinate mapigano kupigana na ISLI hapo Iraq?
 
Tafuta mahojiano ya Obama na Reuters ya jana uone alichozungumza Obama na kwanini Democrats wengi wanamuunga mkono.
Siyo kweli mkuu, anaongea kisiasa tu. Hebu soma hapa chini:

PRESS RELEASES 03.03.15[h=1]Pelosi Statement on Prime Minister Netanyahu’s Address to Congress[/h]
Washington, D.C. – Democratic Leader Nancy Pelosi released the following statement regarding Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu’s address to the Joint Meeting of Congress:
“The unbreakable bonds between the United States and Israel are rooted in our shared values, our common ideals and mutual interests. Ours is a deep and abiding friendship that will always reach beyond party. Americans stand shoulder to shoulder with the Israeli people. The state of Israel stands as the greatest political achievement of the 20th century, and the United States will always have an unshakable commitment to Israel’s security.
“That is why, as one who values the U.S. – Israel relationship, and loves Israel, I was near tears throughout the Prime Minister’s speech – saddened by the insult to the intelligence of the United States as part of the P5 +1 nations, and saddened by the condescension toward our knowledge of the threat posed by Iran and our broader commitment to preventing nuclear proliferation.
“Today, Prime Minister Netanyahu reiterated something we all agree upon: a nuclear armed Iran is unacceptable to both our countries. We have all said that a bad deal is worse than no deal, and stopping the spread of nuclear weapons is the bedrock of our foreign policy and national security. As President Obama has said consistently, all options are on the table for preventing a nuclear-armed Iran.”
Source: Pelosi Statement on Prime Minister Netanyahu’s Address to Congress | Democratic Leader Nancy Pelosi
 
Kwani hapa kimeandikwa nini Mkuu? Huyu mama yuko kambi moja na Obama kwenye hii issue msome vizuri.

Yombayomba
 
Last edited by a moderator:
bily
Ujinga busara... ngoja nikuache na busara ya ujinga wako

You made a statement and you cant defend it... have a good one
 
Last edited by a moderator:
quote_icon.png
By bily
What does Obama meant when he said that Prime Minister Netanyau had speechless? Does it meant that Americans are fed up by Jews?



NGOJA! Kwa nini usiandike kwa kiswahili tu! Umekosea past tense kila mahali, yaani ndani ya sentensi moja una makosa (1) does Obama meant- hapa umechanganya tenses (2) Netanyau had speechless- umetumia verb isiyo sahihi, inapaswa kuwa Netanyau WAS (3) Does it meant- tena tense (4) fed up by Jews- hapana 'fed up with Jews'. Sasa ukiandika para nzima itakuwaje! Usione haya chukua vijitabu vile vidogo vya form one jisomee kimya!

Hapa kuna mengi. Ilitakiwa akulipe japo kidogo!!! Tuko pamoja kiongozi.
 
Netanyahu Accuses Obama of Plan to Destroy Israel's Air Force.

Posted by Gordon Duff on March 1, 2015 Decrease font size Increase font size

Normal people can't just make this stuff up...but who said Netanyahu is "normal?"
… by Gordon Duff, Senior Editor

In a story in today's Israel National News, Netanyahu claims he was forced to abort a planned tactical nuclear attack on Iran. According to a series of sources, a newspaper in Kuwait, a news service in "Bethlehem" and the ever faithful Israel National news, it is all true.

Israel's slated 2014 nuclear attack on Iran, to be launched from Azerbaijan using nuclear weapons landed at Poti, Georgia in 2010, was averted due to threats of US reprisals against Israel.

Despite continual denials by Azerbaijan, Israel has maintained, not only nuclear armed F15's in Azerbaijan but a drone base as well.
 
USA na Israel lao moja, mimi naona hii ni mbinu tu ya kuifanya Iran ione usa na israel hawako pamoja kwenye hili na mwisho wa siku waingie iran kiulaini.
 
Hivi Kwa mfano Kikwete akikataa kukaa meza moja na wapinzani ili waweze kutatua tatizo fulani, vyombo vya habari vitaandika kuwa Kikwete kagoma au serikali ya Tz imegoma kuongea na wapinzani ? Obama anawakilisha wananchi wote wa US. Think big bro, karibu tena kwa ushauri .
bily
Ujinga busara... ngoja nikuache na busara ya ujinga wako

You made a statement and you cant defend it... have a good one
 
Last edited by a moderator:
Hivi Kwa mfano Kikwete akikataa kukaa meza moja na wapinzani ili waweze kutatua tatizo fulani, vyombo vya habari vitaandika kuwa Kikwete kagoma au serikali ya Tz imegoma kuongea na wapinzani ? Obama anawakilisha wananchi wote wa US. Think big bro, karibu tena kwa ushauri .

dont twist.. uliferer to "wamarekani" sio serikali ya Obama
 
Netanyahu alitoa ushuhuda wa uongo kwenye Congress ya Marekani mwaka 2002 akasababisha Marekani iende vitani na Iraq



Matokeo ya vita hiyo ni kuwa wamarekani zaidi ya elfu tano wamekufa, na uchumi wa marekani umeyumba sana kutokana na gharama za vita hiyo. Wakati huo alifanikiwa kutokana na utawala uliokuwapo marekani wakati huo ulikuwa hautumii akili bali ulikuwa unatafuta njia ya yoyote ya kupatia popularity. Sasa hivi anajaribu tena kufanya marekani ingine vitani na Irani kwa kutumia ushuhuda wa uongo tena bila kujali maslahi ya marekani lakini amekwama kwa sababu Rais wa marekani sasa hivi anafikiri sana kabla hajatuma vijana wake kwenda vitani.

 
Last edited by a moderator:
US wameshasema hata kama netanyau atapita katika uchaguzi itabidi amwondoe balozi wake marekani na kuleta mwingine,kwani wa sasa amekua personal non grata,hafai kwa kutumia ushawishi wake kufanikisha ziara ya netanyau bila whitehouse kujua,so ili waweze kufanya kazi nae itabidi awe replaced
 
USA na Israel lao moja, mimi naona hii ni mbinu tu ya kuifanya Iran ione usa na israel hawako pamoja kwenye hili na mwisho wa siku waingie iran kiulaini.

Ni kweli bwana mkubwa hawa watu wanaweza wakawa wamesuka kipindi ili kuwapoteza maboya
 
Wacha uongo
Israel ilianzishwa 1948 kwa azimio la UN .
Kabla ya hapo hapakuwa na israel kulikuwa na Palestine tu.
Mareakani ilikuwapo kabla ya israel na tangu kuumbwa ulimwengu ila wengi ni walowwzi kutoka sehemu mbali mbali kama walivo walowezi wa israel

Roll back before the Palestine.
Unadhani wale Waisrael waliokua wakiishi pale waliingiaje pale? Na wale walikua uhamishoni walitoka wapi? Na walioamua kurudi pale kutoka uhamishoni walirudi kufuata nini badala kutafuta sehemu ya asili yao?
Ukipewa nafasi ya kuwahamisha Israel utawapeleka wapi?
Ukienda Ethipia na kuwakuta wale waethiopia wenye asili ya uyahudi ambao wapo pale Ethiopia miaka mingi kabla hata ya kuzaliwa Kristocna kuwauliza kwao wapi unadhani watakujibu nini? Na wewe unadhani ukiondoa ile ya Ethiopia asili yao ni wapi?
 
Netanyahu alitoa ushuhuda wa uongo kwenye Congress ya Marekani mwaka 2002 akasababisha Marekani iende vitani na Iraq



Matokeo ya vita hiyo ni kuwa wamarekani zaidi ya elfu tano wamekufa, na uchumi wa marekani umeyumba sana kutokana na gharama za vita hiyo. Wakati huo alifanikiwa kutokana na utawala uliokuwapo marekani wakati huo ulikuwa hautumii akili bali ulikuwa unatafuta njia ya yoyote ya kupatia popularity. Sasa hivi anajaribu tena kufanya marekani ingine vitani na Irani kwa kutumia ushuhuda wa uongo tena bila kujali maslahi ya marekani lakini amekwama kwa sababu Rais wa marekani sasa hivi anafikiri sana kabla hajatuma vijana wake kwenda vitani.



Obama anafahamu kwamba Iran imetiliana mikataba ya ulinzi na usalama katika nchi zao, baina ya China, Russia na Iran, Hivyo hathubutu hata kuongea suala la vita Obama kwani akitangaza hilo ujue ametangaza kupambana na Iran, Russia na China.

Kumbuka hata Syria USA alikata kupeleka jeshi na Russian nae kapeleka lake, hapo USA ika step back.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom