Obama say enough is enough to benjamin Netanyahu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama say enough is enough to benjamin Netanyahu

Discussion in 'International Forum' started by Miaghay, Sep 25, 2012.

 1. Miaghay

  Miaghay JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Kwa mda sasa kumekua na msuguano wa chini kwa chini kati ya Rais obama wa marekani na waziri mkuu wa israel Benjamin Netanyahu kuhusiana na suala la israel kuitaka marekani iweke redline au mipaka ambayo iran ikiikiuka marekani ataishambulia iran.
  Wakati netanyahu anamforce obama kufanya hilo obama amamkatalia kwa macho makavu na kumweleza kuwa daima siasa za nje za marekani ziko responsible kwa usalama wa marekani kwanza na si vinginevyo.
  Link.
  here here.
  Pia soma debka.
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Kakutana na mwanaume si madada aliozoe kuwatongoza enzi zake za uwazirimkuu
   
 3. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,694
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Big up Presidaa Obama, hawa wa-Israel wamezidi kuifanya Marekani baba yao.! USA has permanent interests not a permanent friends nor enemies
   
 4. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwa sasa uchaguzi kwanza si mambo ya vita
   
 5. Miaghay

  Miaghay JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Netanyahu na mit romney ni marafiki wa siku nyingi.sasa anampressure obama mda huu wa kampeni ili akubali na kama akikataa basi akose kura za american jews .netanyahu anajua romney akiwa rais wa marekani basi wamarekani watafanya chochote Netanyahu atakachotaka.
   
 6. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  This is a strategy, a well devised one, especially towards the November elections. Otherwise, US and Israel are more than friends.
   
 7. Miaghay

  Miaghay JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Yeah,US and israel are more than friend.Tatizo hapa ni obama.
  Kumbuka baada ya sptember 11,Netanyahu huyuhuyu aliwahi kusema..,''US is very easy to control''.
  Sasa kwa obama amekua hapatani sana na jamaa,kiasi cha hivi karibuni obama kumwambia netanyahu.."you say these people (iranian)have blood in their hand,WHAT ABOUT YOU, you also have blood in your hand.''
  hii walivujisha watu wa ndani kabisa whitehouse .
  Ukichukuliwa urafiki wa netanyahu na romney,lazima benjamini atajaribu kutumia Ushawishi wa AIPAC ili mjaluo asirudi whitehouse.
   
 8. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Obama hampendi Netanyahu siku nyingi sana, ndio maana kuna wakati Obama na Sarkozy walisikika wakimteta huyu Bibi Netanyahu... Obama alisema huyu jamaa ni muongo sana na anamkera mno...
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hivi hii haiwezi kum-cost Obama kweli katika uchaguzi ujao??
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  husseim OBAMA ATARUDI TENA WHITE HOUSE?
   
 11. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,054
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  Hamna chochote! Watu wana exaggerate ushawishi wa Mayahudi Marekani. Ukweli ni kuwa ingawa wana ushawishi mkubwa, lakini ni rais mwenyewe akiwa lege lege ndiyo wanapitisha mijambo yao. Besides, Wamarekani wengi sasa wameanza kuamka na kuona kuwa Israel is a liability.
   
 12. mase88

  mase88 JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hawa ndo wamerekani as usual they have permanent interest nt frends nor enemy wao hapo washaona mpaka wajilizishe na kwamba irani nguvu yao ya kivita ikoje? hawasukumwi na kama wako tayari kufanya mashambuli ndani ya nchi ya watu kam walivyo fanya kwa Osama pale pakistani uyo netenyau analia lia tu kwa mmalekani
   
 13. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Nakuhunga mkono mkuu, Netanyahu ni mtu jueri sana na atumii busara katika mahamuzi yake! Yuko very emotional na ni mahili sana kutumia kisingizio cha holocaust hata ambapo hakihitajiki, atafanya lolote kutimiza malengo yake - nafikili huluka yake hiyo ndio ilimkosesha kuwa Kamanda wa kikosi cha ukomando wakati wa ujana wake, badala yake aliteuliwa mwenzake Erud Baraka kwa kuwa alionekana na mtu makini asiye na papala - Nadhani huyu Erud Barak sasa hivi ni waziri wa Ulinzi wa Israel kama nakumbuka vizuri, huyu ndiye anamudhibiti Netanyahu asikurupuke kuishambulia IRAN, bila Erud kuwepo kwenye Cabinet ya Israel sasa hivi Netanyahu angekuwa amekwisha toa amri ya kuishambulia IRAN bila kujari Merikani wala Dunia itamfikilia vipi!! Ni mtu hatari sana.

  Kauli aliyo itoa Netanyahu ilikuwa na malengo mawili:


  • La kwanza, katika mawazo yake finyu alifikili akitamka hivyo basi Baraka Obama atakuwa na wasi wasi hivyo kutoa amri ya kuishabulia IRAN by surprise ili aweze kuchaguliwa tena katika kipindi cha pili - hapo kwa mawazo yangu naona Netanyahu alinoa sana na Obama hatamsamehe hata kidogo, watajifanya kusalimiana na mambo ya kidiplomasia lakini things will never be the same again.


  • La pili, alitaka Wamerikani Wamchague Rommey ambaye atakubali kucheza ngoma ya Netanyahu afanye atakavyo, Netanyahu anajuwa fika kwamba vyombo vya habari vilivyo vingi Merikani wamiliki wao ni wenye asili ya kiyahudi kwa hiyo alifikili atavitumia kikamilifu akishirikiana na Rommey kumumaliza OBAMA - na hiyo naona amekwama. Kwa kifupi amejivurigia mambo kwa kukosa kuona mbali.
   
 14. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Mmalekani=Mmarekani.
   
 15. Root

  Root JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,146
  Likes Received: 12,853
  Trophy Points: 280
  ila nawambieni lazima mtu atapigwa siku moja huyu Iran sijui kama atakaa.
  Pia leo bbc nimeona wameandika kuwa Obama ataongelea kuhusu Iran na kuwa Marekani itafanya kila kitu Iran isimiliki Nyuklia weapons
   
 16. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  The simple answer is no. Most American Jews vote democratic.
   
 17. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,124
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Bibi in a box...soma hiyo article kwenye Newsweek ya October 1&8, utapata habari yote ya Netanyahu!.
   
 18. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  alafu pia democrats sio watu wa vita..subiri romney achukue white house muone mwakani marekani inashambulia Iran
   
 19. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,124
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  The good thing is Mitt Romney he no gonna be the President of The United States, he is not only losing to Obama but he is being crushed!.
   
 20. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  God look at the World
   
Loading...