Obama saves the last for the best

Dunia na mbinguni wanajua Obama yupo hapa Kenya kisha azuru SA. Only a few Danganyikans on JF are aware Obama was in Tanganyika. Povu ruksa :D
 
unajua ,kuna watu hapa wanashindwa kuelewa,huyo jamaa alikuwa Tz kwa mapumziko yake,tena hakutaka hata media attention ndio maana akatua moja kwa moja kule KIA badala ya JKIA ,baada ya kula bata na kurefresh mind ndio anaanza kujitokeza hadharani sasa,kwa hiyo hili jambo lisipotoshwe na 'manyang'au' wachache hapa kuwa jamaa ali land TZ for 8 day ago
 
fake news, ni jinai kwa sheria ya marekani kwa raia kujihusisha na mahusiano ya kimataifa unless umetumwa, Trump administration haiwezi kumtuma Obama ku implement foreign trade relations kutokana na bifu nyingi walizonazo personal and ideological
:p:p:p:p Bure kabisa!
 
Dunia na mbinguni wanajua Obama yupo hapa Kenya kisha azuru SA. Only a few Danganyikans on JF are aware Obama was in Tanganyika. Povu ruksa :D
Hata kama wakijua, but its still a fact alikuja na akaspend Tanzania.

Na sio yeye tuu ameondoka amemuacha Football player Koke (Atletico Madrid & spain)anaendelea kula bata Tanzania, yaani ni bata tuu linalika hapa,Nobody wants to visit a country which is unsecure like Kenya.

Hapo wanakuja ona ndugu zao kama Obama amekuja tuu kumsalimia Dada yake then huyo anaendelea na safari zake.
 
Michele na watoto wake wamegoma kwenda Kenya..
 
OBAMA.jpg
 
So you mean alishuka Kenya, akaenda Kilimanjaro kisha akarudi Kenya ndo akaenda sA, alafu sasa ndo anarudi Kenya officially! ha! huku ndo kwao, hii ni mara yake ya Saba ameingia Kenya.... Angalia hio private jet iko na registration number ya Kenya "5Y-..." hata ndege za Tz haziamini
Anapita kusalimia kwa sababu pesa yote imebaki Tz
 
karibu home ja ugenya kasin obama, wandani wake wanasema magu kaogopa kukutana naye maana ya ki-english mazeee, hii aibu sijui tutaificha wapiii daah..
 
Back
Top Bottom