OBAMA: Republican wameacha Trump afanye mambo ya kipuuzi Ikulu

We unazani wanafanya siasa kama zako, Republican upepo unawavumia vibaya hii midterm wanaweza kupoteza bunge na seneti, hujasikia Trump akisema Republican wakapige kura ili asiondolewe madarakani!!
Republican wameshinda karibu viti vyote vya ugavana uliopigwa baada ya yeye kuingia madarakani.kama angekuwa anachukiwa wasingeshindaaa.Trump saiz ana kazi rahis zaid,kwanza Dems hawana mgombea wa kuchuana na Trump aliyeboresha uchumi na kukuza ajira za watu wa USA yule mama Hillary ashapoteza mvuto kabisaa
 
Trump kitakacho msababisha apite kiurahisi kwanza ameutengeneza vizuri uchumi wa marekani. hivyo vitu vingine wanavyo msema ni vitu vidogo sana ktk taifa la wa watu wa marekani.
Sawa hila huyo jamaa anasema sababu yeye controller atashinda anafikiri system ya usa kama nchi za Africa kwamba sababu yupo madarakani anaweza kutumia hyo nafasi kushinda uchaguzi.
 
obama ana wivu ..ameona ulimwengu wote wa sasa macho yao Yapo kwa trump " nikama vile yeye amesahaulika ghafla "... hahaa ila trump anadharau mnoo aiseee " eti khotuba ilimfanya asinzie
Obama ana mambo ya Kiafrika.
 
Back
Top Bottom