Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 91
unajua maana ya kuwa liberal? Liberalism ilianza in Europe and was a movement against the power of the state. Liberals wanataka individual freedom, hivyo wanaamini a state should be kept away from interference of the autonomous of an individual. Hivyo unaposema Health Care isimamiwe na Serikali, in a sense unakuwa sio true liberalist or a conservative. Lakini overtime...kumekuwa na matawi mbalimbali ya liberalism. Na hii imetokana na hali halisi ya mwanadamu (nature ya ubahili) and the need to live in a community/society. Hivyo basi proposal ya Obama, while it moves America from a true liberal state, aka true capitalist, it will serve it's people better by offering affordable health insurance. Hivyo nadhani yeye yupo katika wingo wa kushoto wa liberals, lakini hajafikia kuwa a socialist.
Hawezi kukaa na mezaa moja na mtu ambaye anaona Taifa la Venezuela nilitafunwa na America na hivyo Chavez ni Extremist Socialist na very radical. Hivyo Nakubaliana Mkandala kuhusu juu ya Canada kuwa mfumo mzuri sana wa utoaji wa huduma wa afya na sio AmericaJK anaonekana kudandia treni la conservative capitalism. Anajali zaidi maslahi ya wawekezaji kuliko maslahi ya wakulima na wafanyikazi wa Tanzania. Ndiyo maana nasikia amekacha mkutano utakaofanyika Venezuela chini ya Chavez kwa sababu hataki kuonekana kwa maswahiba wake akiwa kwenye circles za "radicals."
Ni kweli Kabisa Chama cha Waziri mkuu wa Harper vinaongozwa na vyama tofauti sana, na pia mfumo wa afya upo Imara kwa miaka nenda rudi na kuona watu wengi wanapata huduma ya afya nzuri.Wakuu ebu nambieni kitu kimoja.. Canada na UK kuna vyama vya Conservative... as a fact canada inaongozwa na chama cha Conseravtive lakini huduma za Afya na Education ni bure.. Je, mnataka kunambia Canada na UK ni nchi za kisoshalist?..
Kuna Makundi ya watu mbalimbali wanalalamika kuwa Obama anatawanya utajiri kwa walio wengi.. sasa hapa ndio chanzo chake kinaanza na kusema Obama ni Socialist is not pure socialist
Sasa Obama amefail namna gani hapa ndugu yangu?obama ameanza kuprove failure wazungu wanajuta kuchagua sokwe na kumuweka ikule wanasema dog is dog although it wear a gold
Ni ujinga wa Wamerakani wengi huu. Msidhani kuwa wamerakani ni watu waelewa sana. Unajua ukishakuwa na kundi kubwa la watu, ni rahisi sana kuwapumbaza. Na hichi ndicho republicans wanafanya. Mmerakani wa kawaida hajui hata Uingereza ipo wapi. Hata ukimuuliza kuhusu hali ya Canada hajui. Republican ni chama kinachokuwa supported na hizi insurance companies na ndo maana wanataka hali ibake pale pale. Nadhani ukiangalia historia ya watu waliojaribu kubadilisha health care marekani, utakuta ni Democrats. Politcs za marekani zipo interesting sana. Wao wanatumia lobbying kwa wingi sana. Lobbying ni pale interested parties wanapojaribu kupata favours kutoka kwa members of the house au chama in return for something else. hiyo inaweza ikawa kuwapa pesa wakati wa uchaguzi, vacation, etc. Ndo hali halisi sana. Ndo maana wakati Barack anaingia ikulu, alikataza wafanyakazi wake kujihusisha na lobbying ya aina yeyote.Wakuu ebu nambieni kitu kimoja.. Canada na UK kuna vyama vya Conservative... as a fact canada inaongozwa na chama cha Conseravtive lakini huduma za Afya na Education ni bure.. Je, mnataka kunambia Canada na UK ni nchi za kisoshalist?..
Mtoto a Liberal is simply somebody who favors tolorence or open mindnedness na mojawapo ya sifa zake ni kuwa progressive politically or socially and also generous.Development of personal freedom and social progress ndiyo basic concern ya filosofia ya liberalism.unajua maana ya kuwa liberal? Liberalism ilianza in Europe and was a movement against the power of the state. Liberals wanataka individual freedom, hivyo wanaamini a state should be kept away from interference of the autonomous of an individual. Hivyo unaposema Health Care isimamiwe na Serikali, in a sense unakuwa sio true liberalist or a conservative. Lakini overtime...kumekuwa na matawi mbalimbali ya liberalism. Na hii imetokana na hali halisi ya mwanadamu (nature ya ubahili) and the need to live in a community/society. Hivyo basi proposal ya Obama, while it moves America from a true liberal state, aka true capitalist, it will serve it's people better by offering affordable health insurance. Hivyo nadhani yeye yupo katika wingo wa kushoto wa liberals, lakini hajafikia kuwa a socialist.
obama ameanza kuprove failure wazungu wanajuta kuchagua sokwe na kumuweka ikule wanasema dog is dog although it wear a gold
Ni kweli kabisa hiyo ndio liberal view thought ya watu wengi sana na pia itakuwa hivyo kutokana na mazingiraMtoto a Liberal is simply somebody who favors tolorence or open mindnedness na mojawapo ya sifa zake ni kuwa progressive politically or socially and also generous.Development of personal freedom and social progress ndiyo basic concern ya filosofia ya liberalism.
Mtoto a Liberal is simply somebody who favors tolorence or open mindnedness na mojawapo ya sifa zake ni kuwa progressive politically or socially and also generous.Development of personal freedom and social progress ndiyo basic concern ya filosofia ya liberalism.
liberal wako more concerned na personal freedom. Kwani idea ya bill of rights imetoka kwenye ideology gani? Si classcial liberalism, ambao wako more concerned na negative rights. Meaning ku-keep the state away. Ndo maana ukiangalia Bills of Rights nyingi, rights zao ziko expressed in a negative manner. Example ya hawa ni kina Milton Freidman ambao pia walikuwa wachumi waliosukuma ideologies za capitalism.
Obama yeye ni social liberalist, yani bado wanaamini in individual freedom but agreed to the need of state interference katika kutoa certain services. Lakini hawa wanaosema kuwa Obama ni socialists wamekosea. Na ndio maana nasema ni watu wengi wasiojua kutofautisha hizi ideologies.
Nadhani...narudia tena NADHANI hii kusema mtu aliye liberal ni mtu aliye open-minded ni definition iliyokuja kupewa hii ideology badae. But was not the original stand. Wao walikuja as an opposition to the State power hasa wakati wa Wafalme bara la Ulaya. It arised from the middle-class, hasa wafanya biashara na ndo maana capitalism iko linked nao.
To give you an example: inatoka wikipedia (not the best source but will do for now)
Liberal conservatism is a variant of political conservatism which incorporates liberal elements. As "conservatism" and "liberalism" have had different meanings over time and across countries, the term "liberal conservatism" has been used in quite different senses. In general, it has carried two broad meanings.
hivyo basi mh, hii kuitwa liberal conservative ambayo ni opposite ya hicho ulichosema juu ya kuwa open-minded/tolorent/nk ni term inasiyo-capture the true meaning of a liberal. Yani ukiwa liberal, bado unaweza kuwa upande wa kulia au kushoto. Kwa hiyo mtu anaweza kuwa a liberal, lakini asiwe open-minded/tolorent/nk. Kwa mfano Republicans katika hili swala la Health.
nAKUBALIANA SANA na wewe mkuu wangu, Kwa hiyo Obama na sere zake yupo upate gani kati ya pande hizoLiberal conservative ni term inayotumika kuwa define wale wanaokubaliana na baadhi ya mielekeo ya both liberal and conservative idealism.Wale wanaowaletea shida Democrats ni wale conservative democrats ambao wao never consider themselves as liberals...Hata hivyo ukumbuke kuwa kimsingi chama cha democrat kina misingi ya uliberal only ni kwasababu over time kuna issues ambazo zimekuwa zikidetermine siasa za marekani na hivyo kupelekea hao wenye kujiita wenye misimamo ya kati kuchaguliwa zaidi,issue ambazo zinaangukia kwenye mipaka ya conseravtisim ama liberalism,na ambazo zimepelekea miganyiko alongsde those lines ni issues kama abortion,gay rights,war with the islamists,this time public health care and so forth.
obama ameanza kuprove failure wazungu wanajuta kuchagua sokwe na kumuweka ikule wanasema dog is dog although it wear a gold
nAKUBALIANA SANA na wewe mkuu wangu, Kwa hiyo Obama na sere zake yupo upate gani kati ya pande hizo