Obama kuzuru nchini Ethiopia

Obama kuzuru nchini Ethiopia

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,513
Reaction score
8,276
Ikulu ya white house nchini marekani imetangaza kuwa rais wa Barack Obama atakuwa rais wa kwanza wa Marekani aliye madarakani kufanya ziara nchini Ethiopia.
Msemaji wake (Josh Earnest) alisema kuwa ziara hiyo itakuja baada ya ziara ambayo atafanya nchini Kenya ambapo ni nyumbani kwa babake akiwa rais wa marekani.
Ethiopia na Kenya zote zimekuwa kwenye mstari wa mbele katika vita dhidi ya kundi la Al Shabab nchini Somalia.

YA KWANGU: kumbe ethiopia haijawahi kutembelewa na US president na inachanja mbuga kimaendeleo! Sasa kama ndo ivyo sababu gan inayotufanya sisi wabongo wa JF kuwalingishia wengine hasa watani zetu wakenya kwamba sisi tulishatembelewa na marais kibao wa US! Eti clinton, bush, obama.
 
Back
Top Bottom