Yeye anatembelea Symbion na siyo Dowans. Lowassa no Lowassa hiyo haimhusu.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
kha!mbona mkali sana?Hata angeenda nyumbani kwao Lowasa & Rostamu nakwambia tumechoka na mafisadi kijani!
KWA TAARIFA YENU OFCIAL SOURCE TOKA IKULU ALYERATBU UALIKO WA OBAMA TOKA MWAKA JANA NI LOWASA NA MEMBE KARUKIA KCHWAKACHWA AJUI SIRI YA LOWASA NA JK US INAMKUBALI LOWASA Kulko JKYeye anatembelea Symbion na siyo Dowans. Lowassa no Lowassa hiyo haimhusu. Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Hiyo ndio nguvu ya Rostam,oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?
Hata mama Clinton aliitembelea, kama hiyo haitoishi, sasa ni Obama.
Jee, zile fitna za Mzee Mwanakijiji ziko wapi? kwa sasa anaishi kama mkibizi USA na akifanya mchezo anakuja hapa kusota, sijui atakuwa mgeni wa nani? maana hata nyumba hana. Na huko alikuwa kutwa kwenye mitandao na hana alijualo akila keki za kusaidiwa.
Usicheze. Kuna vitu havijaribiwi. Hamjasoma yaliyompata Nyerere kwa Tiny Rowlands aka LONRHO.
Kaeni Kikwete awape darsa la diplomasia. Rais pekee wa Afrika na pengine duniani aliyeweza kuwaleta Marais na watu wote mashuhuri duniani, Tanzania, bila jasho.
Slaa, upo?
We nae kituko!!!Eti bila jasho???Soni huna!,Mtu anatupatupa mali kama akina Mangungo wewe unakenua na kupiga vigelegele."kumbuka {shanga na vioo = chandarua na dawa za malaria}.Hiyo ndio nguvu ya Rostam, oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?
Hata mama Clinton aliitembelea, kama hiyo haitoishi, sasa ni Obama.
Jee, zile fitna za Mzee Mwanakijiji ziko wapi? kwa sasa anaishi kama mkibizi USA na akifanya mchezo anakuja hapa kusota, sijui atakuwa mgeni wa nani? maana hata nyumba hana. Na huko alikuwa kutwa kwenye mitandao na hana alijualo akila keki za kusaidiwa.
Usicheze. Kuna vitu havijaribiwi. Hamjasoma yaliyompata Nyerere kwa Tiny Rowlands aka LONRHO.
Kaeni Kikwete awape darsa la diplomasia. Rais pekee wa Afrika na pengine duniani aliyeweza kuwaleta Marais na watu wote mashuhuri duniani, Tanzania, bila jasho.
Slaa, upo?
Hiyo ndio nguvu ya Rostam, oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?

Sijui nikuweke kwenye kundi gani la uwezo wa kufikiri... Uwezo wako mdogo sana, au unafanya haya kama mchango wako kwenye Lumumba project. Kama vipi rudi darasani ukasome historia na namna nchi yetu ilivyoingia kwenye ukoloni mkongwe. Baada ya hapo ubongo wako utaweza kufikiri hila za wazungu katika nchi za dunia ya tatu!
Hata mwadui mines mzungu alileta zawadi za goroli akabadilshana na wasukuma waliozitumia kuchezea bao!Na kweli walimwona mkarimu sana na mtemi alipata bahati ya kujengewa nyumba yenye madirisha ya vioo kati kati ya nyumba za nyasi!Watu wote waliona hakuna kizuri zaidi ya hicho na mzungu alitukuzwa kwa hilo!Hatujawahi kubadilika!We nae kituko!!!Eti bila jasho???Soni huna!,Mtu anatupatupa mali kama akina Mangungo wewe unakenua na kupiga vigelegele."kumbuka {shanga na vioo = chandarua na dawa za malaria}.
Watanzania kwa kujisifia ujinga hatujambo,Hiyo ndio nguvu ya Rostam, oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?