Obama kuhamia Washington DC

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,368
8,071
Rais Barrack Obama wa Marekani ataondoka katika ikulu ya White House mwaka 2017,lakini hatahamia mbali.
Bwana Obama alisema siku ya Alhamisi kwamba familia yake itahamia mjini Washington,huku mwanawe wa kike Sasha akimaliza shule katika Elite Academy,Sidwel Friends.
''Kumhamisha mtu katikati ya mafunzo ni ngumu'', alisema alipokuwa akijibu maswali huko Wisconsin.
Sijambo la kawaida kwa marais kuishi katika mji mkuu baada ya kuondoka madarakani.
Woodrow Wilson ambaye alihudumu kama raia mwaka 1913 hadi 1921 alikuwa wa mwisho kufanya hivyo.
Hatahivyo familia ya Obama pia inapanga kuishi kwa mda mjini Chicago,ambapo familia ina nyumba na bi Michelle Obama ana familia yake.
Obama pia anaimarisha maktaba yake mjini Chicago.
 
"Obama pia anaimarisha maktaba yake mjini Chicago".
Sisi viongozi wetu sijui huwa wanaimarisha nini...
 
mkwere naye angekuwa wazi tu kuliko kutudanganya kaenda nsoga wakat kila siku tunabanana naye mjini
 
white house sio makazi ya obama bali ni makazi ya rais wa marekani, sasa makazi ya obama yatahamia washington dc toka chicago

Kwani Obama sio rais wa marekani?? Sasa hivi kwani makazi yake ni wapi Kama sio White House . Hii taarifa umeitoa bbc na wao wanaeleza kuwa hatohama kutoka Washington wewe unasema atahamiA Washington
ImageUploadedByJamiiForums1457197676.494821.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1457197750.121969.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1457197815.374515.jpg
 
Kwani Obama sio rais wa marekani?? Sasa hivi kwani makazi yake ni wapi Kama sio White House . Hii taarifa umeitoa bbc na wao wanaeleza kuwa hatohama kutoka Washington wewe unasema atahamiA Washington View attachment 327612View attachment 327613View attachment 327614
washington sio makazi yake na ndo maana kufikia february mwakani lazima awe hayupo pale yale ni makazi ya rais chini ya serikali na hii habari inahusu makazi ya obama chini ya obama. hata iwe vipi obama hawezi akakata hata kakipande ka hatua moja kumuuzia mtu pale white house na hawazi akatembelewa na ndugu zake kienyejienyeji kama kule chicago.
ni kama tu yalivyo makazi ya zuma kule klanda aamue kuhamia pretoria
 
Kwa hio kwa miaka kumi iliyopita makazi yake sio Washington ?? Au mm Ndio sièlewi maana ya makazi?? Sawa atatoka White House lakini atohama kutoka Washington.
 
Kwa hio kwa miaka kumi iliyopita makazi yake sio Washington ?? Au mm Ndio sièlewi maana ya makazi?? Sawa atatoka White House lakini atohama kutoka Washington.
kilichokuwa kinamuweka pale ni urais tu, na ndo maana ikulu huitwa makazi ya rais sio makazi ya mtu fulan, sasa kama pale ni makazi ya obama je bush aliishije pale? au alipangishwa na obama baadae akamtimua?
ebu msome jose munica, huyu mzee yeye hata ikulu hakai bali hukaa katika makazi yake huko mashamba, huenda ikulu mara mojamoja ikiwemo pamoja na kuendesha vikao vya mawaziri
 
Back
Top Bottom