Hapo inaonyesha IQ ya obama ni very low na anafanya maamuzi ya kitoto. Kwa mfano swala la urusi Putini amemwambia atoe ushahidi ulio wa wazi na usio na shaka, ameshindwa sasa anafanya kukomoa. Urusi nayo ikijibu ndio mwanzo wa vita baridi. Jingine ni hili la Israeli maamuzi ambayo alitakiwa ayafanye mwaka wa kwanza akiwa ofisini ili apate muda mzuri wa kulishughulikia analifanya dakika za mwisho, hii inaonyesha ana chuki na Waisraeli na anasuport makundi ya kigaidi kama inavyoripotiwa na vyombo mbali mbali vya habari.