Obama haogopi kuitwa muislamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama haogopi kuitwa muislamu

Discussion in 'International Forum' started by Ami, Aug 30, 2010.

 1. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  Asilimia kubwa zaidi ya wamarekani wanazidi kutilia shaka kuhusu dini ya raisi wao;Baraka Hussein Obama.Asilimia 18 wanasema ni muislamu na 34 tu ndio wanaosema yeye ni mkristo.
  Mwenyewe amenukuliwa akisema:
  "It's not something that I can, I think, spend all my time worrying about it," Obama said in an interview with NBC News, dismissing the results of a recent Pew Research Center.
  "I'm not going to be worrying too much about whatever rumors are floating out there. If I spend all my time chasing after that, then I wouldn't get much done."

  REUTERS
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hata baadhi ya wamarekani hawana maana. Dini ya Obama, yo yote ile iwayo, ina uhusiano gani na uongozi wa nchi yao?
   
 3. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,537
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Kwenye somo la mahesabu sikujifunza asilimia 18 kuwa asilimia kubwa. Idadi hii inalingana na idadi ya Wamarekani wanaoamini ya kwamba jua linazunguka dunia, ya kwamba Obama hakuzaliwa USA, ya kwamba viumbe kutoka anga la nje hutembea duniani na kuiba watu, Serikali ya Washington ilitengenza milipuko kwenye minara ya WTC. Kila imani kati ya hizi hupata takriban asilima 20 za Wamarekani wanaokubali.

  Halafu unabadinka kichwa kisicholingana sana na yaliyomo: Alichosema ni ya kwamba hataki kupoteza muda kufuatilia mifumo kwa jumla. Huyu Bwana ana kazi kidogo.
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Wana haki ya kujua imani ya rais wao....wangekuwa wana hoji dini ya mtu wakawaida hapo tunge washangaa....
   
 5. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,537
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  mbona dini yake inajulikana? Alisema mara kwa mara yeye ni mkristo. Alishambuliwa mara nyingi na wapinzani kwa sababu ya kanisa lake alipoishi Chicago. Wachungaji wanomshauri wajulikana pia.

  Mwislamu safi anayebatizwa mwaka 1988, kusali kanisani Chicago miaka 20, aliyeoa kanisani, kula nguruwe, kunywa bia na kadhalika!!!!!

  Ni tu ile kempeni ya wachokozi wa FoxNews na wengine wanaoendelea kusambaza eti yeye ni mwislamu.
  Kuna watu wenye akili wanaojaribu kumsemea hivyo lakini je, kuna mtu 1 mwenye akili anayeyaamini yeye ni mwislamu ???
   
 6. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mijitu kwa udini!Ndio maana mnamshabikia padri kwavile ni toka dini(dhehebu)lenu.Acheni hizo huo ni mufilisi!
   
 7. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,428
  Likes Received: 3,790
  Trophy Points: 280
  Kwa asilimia yoyote itakayosema vyovyote does not matter......... Ingekuwa RAIS wa IRAQ.....labda tungehoji hizo asilimia maana wa huko na kwingineko kunakofanana na huko anatakiwa awe 100% muislam..........
   
 8. Kibona

  Kibona JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 1,021
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mh! hapo hujafikiri vizuri, ina maana na wale wanaomshabikia mgombea wa chama tawala nao ni kwa sababu ya dini yake? Ninavyojua watu wengi wanamfagilia padri kwasababu ya vita yake dhidi ya ufisadi. Na kama rais anapimwa kwa kigezo cha zinaa basi hata wewe muunge mkono huyo padri maana mpinzani wake sio tu anazini na wake wa watu bali pia anawapa hata vyeo achilia mbali kuhatarisha afya zao.
   
 9. Erick_Otieno

  Erick_Otieno JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 630
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 180
  Lakini huyu jamaa si jewish, maana Mama yake ni Jew!
   
 10. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kipara you right.
   
 11. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  kwa nini wamuite muislam wakati si muislam! nijuavyo obama anasali church!.. ni hulka ya kibaguzi wazungu waliyo nayo kamwe hawataiwacha!!
   
 12. RealDeal

  RealDeal JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Obama should just ignore them, if he goes deep in argument he will lose focus.
   
 13. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Tittle ya hii thread ina hidden message kutoka kwa mfungua maada.
  Labda yeye (Ami) atuelenze anaamini lipi? Obama Muislamu au Mkristo?
   
 14. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Uzi huu hauna tija. Ina maana katika hali ya kawaida watu wanatakiwa waogope kuitwa waisilamu? Ami inabidi utuombe radhi waisilamu.
   
 15. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hayo yapo kwetu tu zanzibar, ma great thinker huwa hawana tym nayo kwani akiwa muislam ni nini cha ajabu?
  ama akiwa ni mkristo ni kipi cha kushangaza? uislam hauongozi nchi, wala ukristo, kwa kuwa hizo ni private issue za mtu binafsi.
  kuja udini wa mtu ni sawa kujadiri rangi ya nguo ya ndani mtu ambayo hakuna mwenye uhakika na rangi hiyo labda mpaka avue nguo
  hadharani ili kuamua juu ya nani ni sahihi katika kushindana, huyo mleta maada nadhania meathiliwa sana ilimu ya mihadhara
   
 16. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #16
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hapo kwenye red mbona ni kawaida tu siku hizi!
   
 17. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  unaju mkuuSinkala;
  watu wengine wamezoea kulopoka sana wala hawana muda na kuyachunguza madai yao, sasa huuyo Mkuu Ami,
  taka kuniambia kuwa kuitwa ni kiroja ama? au ana maana gani
   
 18. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hivi unatarajia nini ukimuuliza mtu ambaye aliyempigia kura John McCain 2008 kuhusu Obama?, Always atakuwa upande wa negative kwani majority ya hao wana prejudices na wanaziendeleza na hawaamini kuwa Blackman can be US president successfully. They do what they can to prove that he is nothing.

  For them this is parpetual campaign to oust him in 2012, because thay can't afford to see him succeed. For a complex country like US 18% is insignificant because these are the people who didn't vote and will never vote for Obama whatever best things he will do.
   
 19. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0

  Hawa watu USA wanaoamini haya ni mbumbumbu au vipi.
   
 20. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #20
  Sep 24, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  The black muslim (in disguise) in the White House!
   
Loading...