Kipala
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 3,763
- 700
Bw Buchanan ulipoanzisha thread ya kudai eti Obama ni Mwislamu alisema mwenyewe hukusema ukweli na ulishindwa kuitetea hukuweza kuonyesha ushahidi.
Hapa unarudia uwongo huohuo.
A) Kwa nini?
B) unamwitaje mtu anasambaza uwongo?