Hakuna shaka Obama (kulia) ni mjaluo wa Kisumu na alikwenda kijijini Kogelo kutangaza nia ya kugombea urais na kupata baraka zote za wazee. Na alipopata urais watu wa kijijini kwake walifanya bonge la pati kwa kuchinja ng'ombe 4. Sasa mbona harudi kusema asante? Au anasubiri uchaguzi ukaribie?
Jinsi jamii yake ilivyosherehekea Kenyan village awaits Obama's historic inauguration_English_Xinhua

its a matter of time, he will go to kogelo village. he still have problems in his administration to sort out first
At least boma umenisaidia maana hapa JF jamaa walishaanza kunishambulia ati ooo arudi kufanya nini, mara ati ana ratiba ngumu....mbona wachaga kila mwaka wanasahau ratiba ngumu na wanakwenda kwao kuhesabiwa? Obama alipata hadi dua za wazee kule Wajir, akavalishwa mishuka akafanana kama msomali ndio maana akaukwaa urais....ni lazima aje aseme wazee taire.....
Badala yake haishi kuwaandama watu wa kwao,mara viongozi wake wasisafiri,mara wanahusika na madawa ya kulevya!.
Hakuna shaka Obama (kulia) ni mjaluo wa Kisumu na alikwenda kijijini Kogelo kutangaza nia ya kugombea urais na kupata baraka zote za wazee. Na alipopata urais watu wa kijijini kwake walifanya bonge la pati kwa kuchinja ng'ombe 4. Sasa mbona harudi kusema asante? Au anasubiri uchaguzi ukaribie?
Jinsi jamii yake ilivyosherehekea Kenyan village awaits Obama's historic inauguration_English_Xinhua
Hakuna shaka Obama (kulia) ni mjaluo wa Kisumu na alikwenda kijijini Kogelo kutangaza nia ya kugombea urais na kupata baraka zote za wazee. Na alipopata urais watu wa kijijini kwake walifanya bonge la pati kwa kuchinja ng'ombe 4. Sasa mbona harudi kusema asante? Au anasubiri uchaguzi ukaribie?
Jinsi jamii yake ilivyosherehekea Kenyan village awaits Obama's historic inauguration_English_Xinhua
Iwapo anahofia vitu vidogo vidogo kama hivyo kuhusiana na kwao basi afadhali akose huo uraisi kipindi cha pili.Mbona hakuhofu mambo kama hayo kwa kwenda kujinasibu kule Scotland?.Kumbuka Obama yuko kwa ajili ya Americans.. na usisahau US kuna Republicans..kina Bush.. Kama Obama akitia mguu kwa wajaluo basi Republican wataigeuza geuza na inaweza kum-cost Obama second term.. Jamaa ana mikakati ya kupata second Term..akipata tu..basi anaweza hata kuja Bongo..
Iwapo anahofia vitu vidogo vidogo kama hivyo kuhusiana na kwao basi afadhali akose huo uraisi kipindi cha pili.Mbona hakuhofu mambo kama hayo kwa kwenda kujinasibu kule Scotland?.
Kukosa kwake uraisi itakuwa ni nafuu kwetu waislamu wa Kenya na EA kwa sababu siku akija kama raisi tutadhalilika sana.Hata nchi yetu nayo itadhalilishwa sana.Nakumbuka Bush alipokwenda Tanzania walipanda mpaka juu ya paa za ikulu bila kuomba ruhusa ya mtu yeyote.Askari waliokuwepo walijifanya kama hawawaoni na hawakusema nao.
Akija tena Kenya wacha aje kama mtoto mpotevu anayerudi kwao.
Kenya walichakachua matokeo ya kura za urais,pia walifanya mauaji wakati wa uchaguzi(OCAMPO6)
Hakuna shaka Obama (kulia) ni mjaluo wa Kisumu na alikwenda kijijini Kogelo kutangaza nia ya kugombea urais na kupata baraka zote za wazee. Na alipopata urais watu wa kijijini kwake walifanya bonge la pati kwa kuchinja ng'ombe 4. Sasa mbona harudi kusema asante? Au anasubiri uchaguzi ukaribie?
Jinsi jamii yake ilivyosherehekea Kenyan village awaits Obama's historic inauguration_English_Xinhua
Wewe unajua protocal inavyofanya kazi au unaongea tu. Unafikiri huyu ni sawa na rais wako huyu ni rais wa dunia acha njozi zako. Kwani Kenya ndio waliopiga kura si wamerakani ndio waliopiga kura. kama walichinja ng'ombe si walikuwa wanafurahia mtu wao kuongoza dunia sasa ulitaka arudi awarudishie zile ng'ombe zao. Obama ni rais wa Marekani na si Kenya elewa hilo.