Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
Huna lolote! Nani asiyekujua kuwa wewe ni mwislamu uliye upande wa wapalestina ambao hawakutaka Obama ashinde? Wewe ni mshabiki wa Rob Me, ooh sorry Romney. Unaona tu kibanzi kilicho kwenye jicho la Obama ila boriti iliyoko kwa Romney huioni? Mnafikim wewe, ondoa kwanza boriti iliyoko kwa Romney ili upate kuona vyema kibanzi kilichoko kwa Obama! Mpe huu ujumbe na hawara yako Natalia!
Alijua kabisa kuwa safari hii ngoma ilikuwa nzito. Uchaguzi ulikuwa mgumu sana.
Sasa ndio ana kazi ngumu zaidi kuliko alivyokuwa kipindi kinachoisha.
Amepata urais kwa kujitoa sadaka sana, mpaka kuamua kuunga mkono ushoga ili tu apate urais.
Hapo kwenye blue, mimi sio muislamu, mimi ni Mkristo safi kabisa. Angalia jina na avatar yangu. Pia soma signature yangu hapo chini.
Sasa hapo kwenye red, mimi napinga sana ushoga na utoaji mimba (maana vyote viwili ni dhambi kama biblia inavyosema). Ndio maana simuungi mkono mtu yoyote anayepigia debe dhambi hizo, hata awe nani.
Romney na Republican wenzake wanasimamia maadili mema, wanapinga ushoga na utoaji mimba.
Je wewe, unaunga mkono ushoga ?? Je wewe unagunga mkono utoaji mimba ??
Hii imeotokea jana wakati anawashukuru wapiga campaign wake kwa kujitolea tena wengine bila malipo yaani volunteers. He suddenly become emotional na kujikuta akitokwa machozi. Jicho langu ni hapa kwetu hivi huwa inakuwaje baada ya mgombea kuwa ameshinda wale wapiga campaign wake wanapokutana naye kwa mara ya kwanza akiwa kama rais huwa wanazungumza nini au mipango gani na anawashukuruje? Au ndiyo huwa wanaanza kugawana vyeo na madeal mengine? Tizama mwenyewe hapa President Obama: "I'm Really Proud of All of You." - YouTube
Unamaana ana pinga ushoga?
Unamaana ana pinga ushoga?
Do you keep all the instructions in the Bible? au unafikiri Ukirsto ni kupinga ushoga tu? by the way ukirsto haupingi kitu chochote kile katika approach unayotumia hapa.
Do you keep all the instructions in the Bible? au unafikiri Ukirsto ni kupinga ushoga tu? by the way ukirsto haupingi kitu chochote kile katika approach unayotumia hapa.
Huna lolote! Nani asiyekujua kuwa wewe ni mwislamu uliye upande wa wapalestina ambao hawakutaka Obama ashinde? Wewe ni mshabiki wa Rob Me, ooh sorry Romney. Unaona tu kibanzi kilicho kwenye jicho la Obama ila boriti iliyoko kwa Romney huioni? Mnafikim wewe, ondoa kwanza boriti iliyoko kwa Romney ili upate kuona vyema kibanzi kilichoko kwa Obama! Mpe huu ujumbe na hawara yako Natalia!
Hata hapa jimboni kwake Illinois alipokuwa gavana vijana wengi wa Tanzania na east africa tulijitolea sana ...
Pinda akilia AIBU, Obama kalia eti 'VERY TOUCHING'. Kuongoza watz inabidi uwe na roho ngumu sana
Kwa kuongezea hapo kwenye kupinga ushoga na utoaji mimba, (Angalia sana pale kwenye red !!!)
Biblia inasema hivi:-
Warumi 01:24-32 inasema......
'24 Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
25 Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina.
26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
29 Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya,
30 wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao,
31 wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema;
32 ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao. '
Haujajibu hoja yangu. huu ndio mwisho wa ukirsto?
Sehemu pekee nnayojua imetajwa kwenye biblia kwamba itaendeshwa kwa mujibu wa maelekezo yaliyo kwenye biblia ni kwenye KINGDOM OF GOD. Sasa marekani ni KINGDON OF GOD? why do you want to hold their president responsible to the Biblia?Huu sio mwisho wa ukristo.
Ukristo unakataza mambo mengi maovu kama hayo hapo niliyotaja na mengine mengi.
Sasa ikiwa Obama na wengine ni wakristo (Hivi Obama ni mkristo ??), na wanashindwa kukemea hayo machache tu ya ushoga na utoaji mimba ??
Je hayo mengine mengi sana ??
Kuunga mkono ushoga alifanya ili apate urais tu.
Sidhani kama akiulizwa maswali magumu ataweza kujibu vizuri.
Kwa mfano akiulizwa maswli yafuatayo:-
Hapo mwenyewe atanywea tu.
- 'Utajisikiaje binti zako wakifunga ndoa na wanawake wenzao ??'
- 'Utajisikiaje ikiwa binti yako atapata mimba halafu akaitoa bila sababu yoyote ya msingi ??'
Obama machozi yanamtoka kwa sababu mwenyewe anajua kuwa amefanya mambo mengi yasiokubalika ili apate urais.
Kaunga mkono ushoga, kaunga mkono utoaji 'ovyo' mimba, n.k. ili tu aungwe mkono na watu wengi.
Kiongozi shupavu anatakiwa kuwa tayari kusimamia anachoamini, hata kama atapingwa na watu wengi.
Mfano wa kiongozi kama huyo ni Nyerere. Alisimamia maadili ya uongozi katika azimio la arusha, ila watu wengi walimpinga na kuleta azimio la zanziba.
Sasa ndio tunavuna matokeo ya zaimio la zanzibar kwa kuwa na mafisadi kila kona.
Huu sio mwisho wa ukristo.
Ukristo unakataza mambo mengi maovu kama hayo hapo niliyotaja na mengine mengi.
Sasa ikiwa Obama na wengine ni wakristo (Hivi Obama ni mkristo ??), na wanashindwa kukemea hayo machache tu ya ushoga na utoaji mimba ??
Je hayo mengine mengi sana ??
Sehemu pekee nnayojua imetajwa kwenye biblia kwamba itaendeshwa kwa mujibu wa maelekezo yaliyo kwenye biblia ni kwenye KINGDOM OF GOD. Sasa marekani ni KINGDON OF GOD? why do you want to hold their president responsible to the Biblia?
Bado unajizungusha tu mashoga ni asilimia ngapi ya waliopiga kura? masuala ya wanawake kutoa mimba ni pana kuliko unavyolifikiria. Kilichompa uraisi Obama ni sera na utendaji wake wa kazi; nenda Unguja ukaone mashoga walivyoshamiri je utasema Dr. Shein naye anaunga ushoga? Obama kakubalika na wengi na hakuna la zaidi
Chama
Gongo la mboto DSM