Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,432
Hivi anayeanza ndo 'anampiga' mwenzake, au anayeshikiliwa ndo 'anapigwa'?Umetafsirije kuwa "anapigwa" denda na sio "anapiga" denda?
Hivi anayeanza ndo 'anampiga' mwenzake, au anayeshikiliwa ndo 'anapigwa'?
hapa nani anapigwa denda?..........by the way, hii ndo denda ee!!Hapo washawasha aje atoe maelezo ya kina, mie sielewi kabisa kabisa
Hii sura nzuri kweli kweli hadi raha, hebu itazame vizuri utapata ujumbe fulania anaotaka kukupa!
Hahahahahaaaa!!!nataka dudu..nataka dudu...ulali leo..ulali leo......
Hahahahahaaaa!!!
we binti maringo wewe!!
Na hii sura bana nako kuna kaujumbe fulani, ujumbe wenyewe unasema hivi: "Wee kik wee kik wee kik wee kik wee kik" ha ha ha ha. (Kik ni konyezo)
nimesubiri lisaa lizima bila picha ku upload,nakupa link uhangaike nayo Benetton retira foto do Papa beijando um imã no Cairo - Yahoo!naomba hizo picha.