technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,680
- 58,686
=HakunaNimetamani bure kuwa mmarekani. Hakuma kura inayohesabiwa chumbani. Kura zote zina flow unaziona laivu
Tofautisha kati ya Uongozi ni Accountability to people na Uongozi ni source of Income. USA na nchi zetu, acha niishie tu hapo. Mtu anagombea ubunge tu anakopa, anauza mali ili aupate, anapigana na wenzake live mtu na familia, then ukifikria anagombea akuwakilishe utasubiri sana.Obama anamkaribisha vizuri tu huyo punguani
i. Anajua kabisa hapawezi pale.
Rudi Obama kogello Kenya ukale kuku wa kienyeji na kunywa kimpumu.
Nilikuelewa sana pale kwenye hotuba yako mpk ukatoa mchozi ukisema 'naota siku moja niwe mtu huru, sina walinzi niweze kuongea na niwapendao nipendapo. nije Nairobi nnapotaka, nicheze na wanangu."
Akasema miaka 10 ya utawala wake kachoka vibaya sana, anashangaa sana anapoona Africa kiongozi anangangana tu miaka karne na miaka
kuwa madarakani
Haya umetunga au umemsikia mwenyewe akisema? OBAMA hajaiongoza US kwa miaka kumi, aache uongo, au kama ni wewe acha uongo.Obama anamkaribisha vizuri tu huyo punguani
i. Anajua kabisa hapawezi pale.
Rudi Obama kogello Kenya ukale kuku wa kienyeji na kunywa kimpumu.
Nilikuelewa sana pale kwenye hotuba yako mpk ukatoa mchozi ukisema 'naota siku moja niwe mtu huru, sina walinzi niweze kuongea na niwapendao nipendapo. nije Nairobi nnapotaka, nicheze na wanangu."
Akasema miaka 10 ya utawala wake kachoka vibaya sana, anashangaa sana anapoona Africa kiongozi anangangana tu miaka karne na miaka
kuwa madarakani
Sio njaa wala ni mentality ya viongozi wabovuWenzetu wapo kwa ajili ya mslah ya nchi yao, sio sisi nadhani Huku kwetu ingekuwa ni shida , watu kuachia ikulu ni ishu sana njaa mbaya Sana
Wastaarabu hawa jamaaHamna namna
Yani huwa unanicheka balaaaHebu apishe huko kinyago huyo
sisi huku akina Mkapa,JK,Mwinyi,Nnape, jecha, lubuva, na CCM yao hata baada ya uchaguzi ni mipasho tu.
Hii ya USA ni demokrasia halisi,polisi wako mbali na siasa.Acha akina Kova,ambao ni makada wa CCM eti ni askari!!!!!!!@@!