englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
mbona yesu hakuwakimbia wadhambi?unafiki wa kanisa ndipo unapoanzia hapo ilipaswa ampe live kukemea ushoga, utoaji mimba, biashara ya silaha,madawa ya kulevya.maana hivyo vyote marekani ndiyo kinara.ikiwezekana hata pope angekataa kukutana nae kuonyeshwa kukerwa na mambo hayo