Unajua wazungu hawapendi unafiki. Maisha binafsi ya mtu mzima na Yale anayofanya chumbani kwake hayawahusu kabisa.
Wakati bunge na raia wengi wa Uganda wasioafikiana na ndoa za jinsia Moja wakimsubir Rais Yower K Mseven asain Mswada wa sheria kali uliopitishwa na Bunge kupinga kabsa Ndoa za jinsia Moja,Rais wa Marekan Obama amemtisha Mseven na kumwambia akisaini basi ushirika wao utapungua kwa kias kikukwa,ikumbukwe kuwa Marekan imejitolea kuisaidia Uganda kupambana na waasi na Bajeti yao pia inategemea misaada toka marekani.
Swali langu kwenu wana Jamvi,
Je Rais mseven atakubali Umaskin afu ahalilishe USHOGA?
Na kwa nchi kama Tz tunaotegemea Foreign Aid ikitokea ktu kama hyo Rais aliyepo ataamua kuruhusu au n bora tushindie Uji wa mtama ski nzima kulko halalisha huu wendawazimu?
Nawasilisha kwenu wanajamvi na wale wanaojiita Haki za Binadamu waje waeleze ndo nn hik wanataka dunia iamini ktk?
Source: East Africa Radio news
Nilikuwa nasikiliza radio fulani ya kiswahili ya kimataifa, kuna mganda alikuwa anatumia maneno makali kweli, ETI WANATULAZIMISHA KULAWITIANA? WANATUFUNDISHA KUFILANA? Hawa jamaa wasituingilie kwenye mambo yetu ya kijamii
Unajua wazungu hawapendi unafiki. Maisha binafsi ya mtu mzima na Yale anayofanya chumbani kwake hayawahusu kabisa.
HEEE! means unashangilia kwa nguvu zote upuuzi huu! haisee!Safi sana Obama na haitoshi akisign tuu piga ban waganda wote kuingia us and no business with uganda
Mi bado sijaelewa? ina maana hawa mashoga huko marekani ni very powerful au vipi? inakuwaje ubama analazimisha kaka zake waliwe?
No sir I'm not gay or anything close, kitu I don't like ni persecution wanayofanyiwa,we know for a fact wapo na wengine ni ndugu,friends or neighbours,is just like an open secret lakini we are acting like these people they don't exist or they are monsters..no hakuna sababu ya kuwafunga or kuwadharirisha waacheni waishi kama RAIA wengineAla!! kumbe na wewe Koba ni halua halua.
Wakati bunge na raia wengi wa Uganda wasioafikiana na ndoa za jinsia Moja wakimsubir Rais Yower K Mseven asain Mswada wa sheria kali uliopitishwa na Bunge kupinga kabsa Ndoa za jinsia Moja,Rais wa Marekan Obama amemtisha Mseven na kumwambia akisaini basi ushirika wao utapungua kwa kias kikukwa,ikumbukwe kuwa Marekan imejitolea kuisaidia Uganda kupambana na waasi na Bajeti yao pia inategemea misaada toka marekani.
Swali langu kwenu wana Jamvi,
Je Rais mseven atakubali Umaskin afu ahalilishe USHOGA?
Na kwa nchi kama Tz tunaotegemea Foreign Aid ikitokea ktu kama hyo Rais aliyepo ataamua kuruhusu au n bora tushindie Uji wa mtama ski nzima kulko halalisha huu wendawazimu?
Nawasilisha kwenu wanajamvi na wale wanaojiita Haki za Binadamu waje waeleze ndo nn hik wanataka dunia iamini ktk?
Source: East Africa Radio news
Safi sana Obama na haitoshi akisign tuu piga ban waganda wote kuingia us and no business with uganda
Sikia mkuu, huu ni ujinga na upotoshaji tu. Jiulize wewe mwenyewe hivi ni halali wewe kama mwanaume kuoa mwanaume mwenzako? Tuseme umeoa au kuolewa na mwanaume mwenzako na mna watoto wa ku adopt, nani ataitwa mama au baba ndani ya nyumba yenu? Marekani wanaruhusu ushoga ila Marekani huko huko mse.nge akienda kutoa damu hospitali haikubaliwi kwa nini? Obama analeta vichekesho tu hapa, basi aruhusu damu za mashoga na wasagaji zikubaliwe hospitalini.