ceterius paribus
Member
- Feb 11, 2014
- 32
- 7
upewa
Of course hawezi,Kama 50 percent of your budget unasaidiwa then loans,export etc unategemea kwao ..Africa bado sana na Hata hiyo Internet unayotumia unaweza kupewa blackout wakitaka ni yao nyie mnalipia tuu
This is a typical example of our mental slavery...they have made us believe that hatuwez kufanya kitu chochote bila wao but WE CAN....unafikiri hao wazungu hamna wanachokipata kutoka kwetu..maendeleo makubwa waliyoyapata yametokana na uporaji mkubwa waliofanya..wanaofanya na watakaoendelea kufanya kutoka africa.africa inatakiwa itambue thamani yake.leo wametuambia tulale na wanaume wenzetu..we accepted....what d"u think they will tell us tommorow......tafakari.....