Obama ampiga rais Mseven mkwara mzito

Obama ampiga rais Mseven mkwara mzito

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
2,896
Reaction score
1,214
Wakati bunge na raia wengi wa Uganda wasioafikiana na ndoa za jinsia Moja wakimsubir Rais Yower K Mseven asain Mswada wa sheria kali uliopitishwa na Bunge kupinga kabsa Ndoa za jinsia Moja,Rais wa Marekan Obama amemtisha Mseven na kumwambia akisaini basi ushirika wao utapungua kwa kias kikukwa,ikumbukwe kuwa Marekan imejitolea kuisaidia Uganda kupambana na waasi na Bajeti yao pia inategemea misaada toka marekani.

Swali langu kwenu wana Jamvi,
Je Rais mseven atakubali Umaskin afu ahalilishe USHOGA?

Na kwa nchi kama Tz tunaotegemea Foreign Aid ikitokea ktu kama hyo Rais aliyepo ataamua kuruhusu au n bora tushindie Uji wa mtama ski nzima kulko halalisha huu wendawazimu?

Nawasilisha kwenu wanajamvi na wale wanaojiita Haki za Binadamu waje waeleze ndo nn hik wanataka dunia iamini ktk?

Source: East Africa Radio news
 
Kwa umaskin wetu wanataka kutuangamiza hawa ngoz nyeupe
 
Niliona kwenye taharifa ya habari. Museveni hawezi kusign Obama amemuonya akisign apati pesa na asipopata pesa .
Wananchi watamgeuka hali itakapokuwa ngumu ya maisha na kuona hafai kumbe ni matokeo ya vikwazo vya uchumi.

Pia wakitaka kumtoa marekan hatatuma ndege za kivita kumtoa.

Marekan amemuonya na Russia pia uzuri Russia nchi tajiri hivo wanaweza kuamua lakin nchi masikini ni ngumu.

Kikwete aliulizwa juzi na CNN kuhusu ushoga akaomba hasizungumzie ilo na hakasema kwa sasa wananchi hawatak labda baadaye na akaomba asilizungumzie
 
umasikini ni mzigo mkubwa duh mungu atuepushe.
 
Obama ni jinga kweli
Heri kufa njaa kuliko kukubali ujinga wao
 
Kumbe watu wengi wanaamini ushoga ni kutoka kwa 'wageni'!
 
Umaskin wetu waafrica ndo kikwako wakuuu,tuache kufanya ufisadi na tuache kukwepa kodi tuone kama hawa jamaa watatulazmisha fanya upuuz
 
Mi bado sijaelewa? ina maana hawa mashoga huko marekani ni very powerful au vipi? inakuwaje ubama analazimisha kaka zake waliwe?
 
Mi bado sijaelewa? ina maana hawa mashoga huko marekani ni very powerful au vipi? inakuwaje ubama analazimisha kaka zake waliwe?

Maisha binafsi ya mtu yana kuhusu nini? Two consenting adults doing their thing in privacy.
 
Mi bado sijaelewa? ina maana hawa mashoga huko marekani ni very powerful au vipi? inakuwaje ubama analazimisha kaka zake waliwe?

Kule wapo weng mkuu na n watu wengne n matajir wakubwa na wanaushawish ktk uchum wa dunia,wanachokifanya n kusimamia hak za bnadamu kwa kuwa tuwe equal treated sasa ndo ngao yao hyo na wanaushawish mkubwa ndo maana baadh ya mataifa hadi ndoa zao znatambulika kikatiba mkuuu
 
Unajua wazungu hawapendi unafiki. Maisha binafsi ya mtu mzima na Yale anayofanya chumbani kwake hayawahusu kabisa.
 
Back
Top Bottom