wana-tie na Romney kwenye polls! Kumbuka Bush senior hakuwa na mpinzani till a little known governor from Arkansas (Bill) ghafla akapanda chati miezi ya mwisho na mzee wa watu akafa kifo cha mende. Kwa hali ya uchumi iliopo hapa US kwa sasa mjaluo ana kazi pevu sana ya kurudi white houseHana mshindani.
Nimemaliza kuangalia debate ya GOP presidential hopefuls on CNN. Kutokana na hali ya uchumi inavyodorora hapa US kwa sasa, na unemployment rate bado iko 9.1%, kwa kusema kweli kama hakuna mabadiliko yoyote ya kiuchumi na kama unemployment itabaki around 9% in the next 12 months, basi mjaluo amekwisha na atakuwa one-term prez.
Najua wengi tunampenda Obama lakini the fact of the matter ni kwamba uchumi unamshinda na anakoelekea sio kuzuri. Kazi ipo.
Americans like results and not likability. I can bet with you if you are ready. If the current state of the economy and the rate of unemployment remain the same till November next year, then your beloved Jaluo will be a one term-prez.Mkuu usi-underestimate kabisa uwezo wa jaluo, he's one of the best politicians ever na hata hao repubs makini wanalijua hilo. In short katika hawa bado sioni mtu nayeweza kudebate na jaluo. The other big factor ambayo jaluo na edge kuliko wote hao ni likability, he's just liked!!!!
Kumbe Jamiiforums kuna Wamarekani kibao! Mi nilifikiri ni forum ya wabongo tu!
Nimemaliza kuangalia debate ya GOP presidential hopefuls on CNN. Kutokana na hali ya uchumi inavyodorora hapa US kwa sasa, na unemployment rate bado iko 9.1%, kwa kusema kweli kama hakuna mabadiliko yoyote ya kiuchumi na kama unemployment itabaki around 9% in the next 12 months, basi mjaluo amekwisha na atakuwa one-term prez.
Najua wengi tunampenda Obama lakini the fact of the matter ni kwamba uchumi unamshinda na anakoelekea sio kuzuri. Kazi ipo.
Expand your horizon,inaposemwa kwamba Dunia ni kijji maana yake ndio hii,you live in Ndendeule village and you happen to hear,see or know what is happening in the World even in nutshell.hakuna cha wamarekani wala nini ni watumwa tu wa akili wanaoishi kwa ndoto za watu wengine
na walio wengi wako nje ya nchi yetuKumbe Jamiiforums kuna Wamarekani kibao! Mi nilifikiri ni forum ya wabongo tu!
Expand your horizon,inaposemwa kwamba Dunia ni kijji maana yake ndio hii,you live in Ndendeule village and you happen to hear,see or know what is happening in the World even in nutshell.