Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Habari ndiyo hiyo, Jimbo la Milwaukee USA, Jeshi limewekwa kwenye hali ya utayari kuingia mtaani kutuliza fujo baada ya Polisi kuzidiwa!
Imetokea baada ya Polisi kwa mara nyingine tena kumpiga risasi raia wa USA aliyetokea kuwa na ngozi nyeusi kama mimi!
Hii yote kazi ya anti christ Obama na laana ya kumuua Gadafi inamuandama, USA inakongoroka mikononi mwake!