Obama akicheza Tango Ajentina, Zero Distance!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Kama anavyoonekana kwenye picha Raisi wa Marekani Obama akicheza mchezo wa dansi ujulikanao kama Tango huko nchini Ajentina,
3,w=559,c=0.bild.jpg
 
Hapo ingekuwa Tanzania Rais wake kafanya hivyoo..ungesikia watu wangeongea hadi ngoma wangepiga kuwa kakosea sanaa...Watu walivyo wanaangalia maisha binafsi ya watu
 
Nani amekwambia Wazungu hawaongei kuhusu hili? ingekuwa hawaongei na kama ingekuwa ni kawaida kwa Raisi nchi kucheza hivyo unafikiri hii picha ingesamabaa Dunia nzima? Kwani kuna picha kapiga kwa nini walete hii tu?
 
Hapo ingekuwa Tanzania Rais wake kafanya hivyoo..ungesikia watu wangeongea hadi ngoma wangepiga kuwa kakosea sanaa...Watu walivyo wanaangalia maisha binafsi ya watu
Hapo ingekuwa Tanzania Rais wake kafanya hivyoo..ungesikia watu wangeongea hadi ngoma wangepiga kuwa kakosea sanaa...Watu walivyo wanaangalia maisha binafsi ya watu
sasa nchi maskini kama Tanzania , rais wake awe anacheza cheza tumchekelee tu!
 
Back
Top Bottom