PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,783
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa, ndugu Bernard Membe jana aliwaeleza waandishi wa habari kuwa Rais Obama wa Marekani anakuja Tanzania muda wowote mwaka huu, ikiwa ni ahadi aliyoitoa kwa Rais Kikwete, pindi walipokutana huko Marekani, wakati Kikwete alipotembelea huko.
Je Watanzania tutarajie nini kutokana na ziara hii?..Msaada?..Maboresho ya miundombinu?...Neema kwa sekta ya utalii?
Tujadili.
Je Watanzania tutarajie nini kutokana na ziara hii?..Msaada?..Maboresho ya miundombinu?...Neema kwa sekta ya utalii?
Tujadili.